dume30 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 566 Reaction score 575 Jun 14, 2014 #1 Habari wadau , kuna benz inauzwa bei 3.2 tatizo ni gear box. Vista ni 5.2 mil imetumika miez sita tu.
Habari wadau , kuna benz inauzwa bei 3.2 tatizo ni gear box. Vista ni 5.2 mil imetumika miez sita tu.
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,451 Reaction score 4,655 Jun 14, 2014 #2 Sawa. Bqt imetumika miezi 6?
headson Member Joined Jan 25, 2014 Posts 16 Reaction score 5 Jun 14, 2014 #3 dume30 said: Habari wadau , kuna benz inauzwa bei 3.2 tatizo ni gear box. Vista ni 5.2 mil imetumika miez sita tu. Click to expand... Nipigie 0653670252
dume30 said: Habari wadau , kuna benz inauzwa bei 3.2 tatizo ni gear box. Vista ni 5.2 mil imetumika miez sita tu. Click to expand... Nipigie 0653670252
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Jun 15, 2014 #4 Gear box si mchezo hapo
tanganyikakwanza JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 493 Reaction score 187 Jun 15, 2014 #5 Hiyo benz naaka hizo rim maana ndizo nimeziona hapo.
A Angelo007 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,846 Reaction score 1,365 Jun 15, 2014 #6 Mlachake said: Sawa. Bqt imetumika miezi 6? Click to expand... Swali la msingi sana
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Jun 15, 2014 #7 Mlachake said: Sawa. Bqt imetumika miezi 6? Click to expand... Ni bdt atakuambia aliipaki tu lol
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Jun 15, 2014 #8 Kamata 3ml hiyo vista wife awe anakwendea sokoni!