MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 574
- 1,364
Nilijua ataelezea hiyo biashara ambayo huwezi pata hasara [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu utakula maarifa?
Hata nchi tunajidanganya tuna madini, gas na Mali asili lakini hatuendelei na kufaidika navyo Kwa sababu hatujawekeza kichwani. Hiyo ndio rasirimali muhimu sana kuliko madini na vitu vingine.
Wananchi wakiwa vizuri kichwani, mengine yote hayashindikani.
heading na yaliyomo haviendani
Mkuu utakula maarifa?
Hujaeleweka kabisa yani [emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2435904
Utakuwa umeweka bango lako stendi la kufundisha maarifa ya biashara limebuma unakuja huku kuwatia watu ndimu ili uokoe jahazi.
Hatujaamua tu kununua mitambo ya kuchimbiaHata nchi tunajidanganya tuna madini, gas na Mali asili lakini hatuendelei na kufaidika navyo Kwa sababu hatujawekeza kichwani. Hiyo ndio rasirimali muhimu sana kuliko madini na vitu vingine.
Wananchi wakiwa vizuri kichwani, mengine yote hayashindikani.
Hatujaamua tu kununua mitambo ya kuchimbia
Tatizo ni maamuzi tuNdio ukosefu wenyewe wa maarifa Sasa tunaongelea hapa.