Bi harusi alia siku ya ndoa yake

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Zamani ilikuwa ni kama tabia hivi kushuhudia mabinti wakilia hadi wakitoa machozi siku za ndoa zao Lakini Anadumu kwenye ndoa...ILA SIKU HIZI SASAAAA...Unamkuta mdada mimacho kodoooo na kulisakata rhumba alisakata tena vizuri na cheko panaaa la msuto kwa mashostu zake...anakaa siku tatu tu ndoani kashaachwa...!

Hebu wakuu tujuzane...NiNI SABABU YA MABINT KULIA KWENYE SIKU ZA NDOA ZAO ZAMANI...NA SIKU HIZI NO HIYO KITU...?
 
siku hizi wengi wanaishi kinyumba ndiyo mana heshima na msisimko siku ya ndoa hamna
wahenga kabla ya ndoa walikuwa hawabunduani hovyohovyoo
 
siku hizi wengi wanaishi kinyumba ndiyo mana heshima na msisimko siku ya ndoa hamna
wahenga kabla ya ndoa walikuwa hawabunduani hovyohovyoo
Kweli aisee...kutusuanaa tusuanaa ile haikuweko kpnd icho... Binti aenda kuonana kwa mara ya kwanz na mumewe kitandani na ndio mwanaume wa kwanzaaa...ndio maana ht mama zetu wanaheshimiwa na waume zao
 
Sasa hivi hamna ndoa wizi mtupu, umekutana na kahaba buguruni kimboka unatangaza ndoa hapo kuna ndoa kweli au ndoano?
 
zamani kufunga ndoa sio jambo la kitoto ni kitu kikubwa mno sio kama sasa

wanawake wa sasa wakifunga ndoa wanacheka meno yote nje

kwanza kichwani anawaza alivyo angaika kwa waganga kutafuta iyo ndoa kwanini asifuarahi mkuu
 
Sasa hivi hamna ndoa wizi mtupu, umekutana na kahaba buguruni kimboka unatangaza ndoa hapo kuna ndoa kweli au ndoano?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili neno ndoa tulitafutie neno jingine badala...maana dhana imepotea kabisaa...
 
zamani kufunga ndoa sio jambo la kitoto ni kitu kikubwa mno sio kama sasa

wanawake wa sasa wakifunga ndoa wanacheka meno yote nje

kwanza kichwani anawaza alivyo angaika kwa waganga kutafuta iyo ndoa kwanini asifuarahi mkuu
LAKINI KWANINI NDOA ZAO HAZIDUMU?
 
Tangu tulivyoanza kuona na kuigiza maigizo ya ndoa, ndipo ndoa zilivyobakia kuigiza tu.

Wahenga walikwenda na ndoa zetu.
 
zamani hakukuwa na muda mzuri wa uchumba, hivyo ile pale mapenzi yamechemkaaa ndio ndoa inafanyika yani mpaka binti anajikuta anatoa machozi ya furaha...

Ila siku hizi, mapenzi tumeyaanza utotoni, kabla ya ndoa yani zishapigwa mechi za kutosha, surprise za kila aina, maisha yote ya ndoa yanafanyika, hivyo hata siku ya ndoa ikifika inakuwa hakuna cha ajabu, inakuwa ni kama kutimiza wajibu ili kuhalalisha mahusiano
 
Mkuu machozi huwatoka wakati wa michango hata ikifika wakati wa harusi machozi hakuna yamekauka yote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…