Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 177
Watu wanakaribia kuwa wendawazimu mkuumkuu apo unaisingizia bangi bure hao wameshaisoma namba vizuri akili inataka kuruka kwa udumu wa maisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushimen huku ndipo unapo pata avatar
Kwa huyu mzee hii si bangi ni ushamba!
Mzee sio mshamba.Kwa huyu mzee hii si bangi ni ushamba!