BG Group hawapo fair kabisa

BG Group hawapo fair kabisa

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,198
Reaction score
88,965
Kama kuna mtu ameshawahi fanya online numerical/verbal tests za hawa jamaa BG group katika ile program yao ya undergraduate anaweza niunga mkono.
Unakuta test ni ya calculation mfano, hafu muda unapewa dakika chache sana wakati maswali yapo lukuki. Mfn: Maswali 18 unapewa dakika 25.
Inafikia stage, unaanza ku guess majibu ili uweze submit tu.
Mi nadhani wamefanya hivi ili vichwa panzi ma slow learner tusipass.
 
Pole sana nakumbuka baada ya kumaliza chuo like 10 years ago nilifanyaga hio Aptitude Test pale PWC ni kawaida mkuu wanapima IQ yako hapo sio lazima umalize maswali yote ni uelewa wako na usharp ndio unapimwa
 
It's not about completing the test. The whole reason is that they are looking at speed and accuracy but also your intelligence to jump the ones that you find tough and tackle the ones that are in your scope so as to raise your scores. Yaani hiyo ni kwa aptitude test ZOOOTEEEE duniani si hii tu. Ila kampuni kubwa nyingi siku hizi wanataka ufanye aptitude test so haitakuwa mbaya ukiji familiarise nazo. You can start by going to this link Free Aptitude Tests Online - Aptitude-Test.com. Good luck in your job hunt.
 
Kama kuna mtu ameshawahi fanya online numerical/verbal tests za hawa jamaa BG group katika ile program yao ya undergraduate anaweza niunga mkono.
Unakuta test ni ya calculation mfano, hafu muda unapewa dakika chache sana wakati maswali yapo lukuki. Mfn: Maswali 18 unapewa dakika 25.
Inafikia stage, unaanza ku guess majibu ili uweze submit tu.
Mi nadhani wamefanya hivi ili vichwa panzi ma slow learner tusipass.
BG mbona wako fair,nilishafanya on line niliishia second stage,ingine nilifanya chini ya local recruitment agency ambayo nilitolewa KO ,maana nilikutana na vichwa hatari nikakubali matokeo
ila kwa sasa tuvute subira maana bado ata gas &oil exploration hawajaanza,ndio maana nafasi ni chache sana, bado natamani siku moja nifanye kazi huko!
 
mwambie boya huyo,,,yeye anadhani kua fair ni hadi apate yeye
 
Back
Top Bottom