BEWARE OF CHEMICALS IN TOILET PAPER

Mlanga

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,023
466
Instead of chemical-filled toilet paper, try using a bidet instead.
When choosing a toilet paper, be sure to read the label carefully to make sure it has no fragrances or dyes, and that it hasn’t been treated with chlorine.

Your best bet is unscented, non-recycled toilet paper that has been bleached using oxygen or ozone (or hydrogen). It may have a “TCF” designation, meaning that it is Totally Chlorine Free.
Consider using bagasse to make toilet paper. It is made from sugar cane and is entirely biodegradable.
Install a bidet on your toilet — it’s how most of the world cleans up after using the toilet
 
Nawashangaa wanaochambiaga makaratasi na kubaki na chemchembe za kimba makalioni na koto la dar it is must be terrible down there.
Tumia maji kwa usafi zaidi uzungu mwingi wakati umekula ugali maharage na kauzu na vinyweleo down huko toilet paper haiwezi kukuacha salama.
 
Aisee! Hawa wanataka uzungu lakin kuna wengine wanajisafisha na majani na wengine wanainuka tu baada ya kumaliza vichakani!
 
 
asa
asante kwa ushauri, nami nakushauri uende haraka kwa daktari bingwa wa "Dar es salaam Disease", maana hujui kuwa pale udom hakuna maji ya kutosha harafu Rusha kuna baridi ya kuua mtu. Pole
 
Globally, toilet paper hutengenezwa kutokana na recycled papers of different colors, use of chlorine can hardly be avoided, but chroline can not remain on the product after processing
 
Aisee! Hawa wanataka uzungu lakin kuna wengine wanajisafisha na majani na wengine wanainuka tu baada ya kumaliza vichakani!

Uzungu wa kizamani labda, siku hizi wazungu wako hivi




 
asa

asante kwa ushauri, nami nakushauri uende haraka kwa daktari bingwa wa "Dar es salaam Disease", maana hujui kuwa pale udom hakuna maji ya kutosha harafu Rusha kuna baridi ya kuua mtu. Pole


"Your best bet is unscented, non-recycled toilet paper that has been bleached using oxygen or ozone (or hydrogen). It may have a “TCF” designation, meaning that it is Totally Chlorine Free.
Consider using bagasse to make toilet paper. It is made from sugar cane and is entirely biodegradable
.''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…