BETTING

Bavarian8

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
655
Reaction score
1,447
Ebana kama kawa kawma dawa wazee wa kupiga pesa Wacha tu nikwambie umasikini upo mikononi kwako mwenyewe ukiamua unatoboa ,,vijana wa kutupia mkeka nisikilizeni kwanza juz katika sports pesa jackpot nilitupia mkeka wangu kwa buku ,2000 ckia nkavuta million 1 yangu na ushehe kwa kushinda game 11 out of 13 ,,,sasa ckia niamini wala usihofu chukua game hz ndani ya boxing day Leo upige pesa ,,,,Norwich MPE win ,Leeds mpe win,man city mpe win ,Exeter city mpe win,carsle mpe win,Lincoln pia win,Grimsby mpe win ,pia jumla ya odds apo n 98 iv zidisha kwa buku 3 tu inaleta 294000 - 18% ya fedha hyo mtonyo unaobaki wakwako unaogapa nn ,,,fanyeni mambo vijana huku burudan tu na pesa n papo hapo, SPORT PESA KAMA KAWA KAMA DAWA
 
Kama unahamasisha kwa kuonesha mfano kwa vitendo hiyo itakuwa poa zaidi.
 
weka huo mkeka wa jackpot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…