MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
kizuri kula na nduguyo mzee baba...tupe matrick! au ni kale kamchezo cha Back & LayBetting ina faida kubwa sana na inaweza ikakupa utajiri mkubwa sanaa...
Mimi na wadau zangu tumecheza kamechezo fulani hapa siwezi kukisema sababu za privacy tuu...
Last month nimeingiza dollar elfu kumi net mzee via betting
Halafu....
Faida nyingine una uwezo wa kufanya mambo mengine huko
Easy to learn
Easy to achieve
Nimeuza tips sanaa kwa wazungu kwa game zakizuri kula na nduguyo mzee baba...tupe matrick! au ni kale kamchezo cha Back & Laykwny betfair
sijawahi kubet ila natrade forex zaidi kwenye stocks( 6 years in a row tangu nimemalize chuo mi ofisi yangu ni chumbani kwangu) kama leo asubuhi nimefungua positions za kubuy uber. Nikifungua position yoyote either a buy/sell huwa na analyse mda mwingine hata mwezi kwa small cap stocks na miezi miwili kwa large cap sasa sijui kama kwenye kubet huwa wanafanya hivyo. Alafu forex imegawanyika katika vipisi pisi vingi tu, kuna wanao trade currencies, indices, indexes, stocks na commoities. Naamini katika Forex kila mtu anakuwa na style yake unique ambayo huwa anaitumia ambayo ipo suitable kwake yeye, hayo mambo ya mentors na kununua signals tupilia mbali kabisa asilimia 90% ya mentors wabongo ni matapeli. Kama unataka kuzama kwenye forex ntakupa ushauri wa bure ufuatao.
1. Anza kutrade Demo account kwa atleast mieze minne, hii itakupa picha ya jinsi masoko yanavyoenda na kama kweli umeamua kuinvest mda wako wote kwenye hili then ndani ya mwaka ni lazima uwe umefanikiwa. Hakikisha hiyo demo account utakayo fungua balance yake ni ile ile utakayo deposit, sio unafungua demo account ya usd 1 mil then unakuja deposit 100$.
2. Soma, narudia tena soma. Knowledge is power. Kuna pdf kibao online fanya research yako, telegram kuna magroup mengi tu ya traders library unaweza pata vitabu vya bure huko ambavyo vitakusaidia mbeleni. Fuatilia habari sana tu kama huna tabia hiyo ndo uanze lipia dstv angalia Bloomberg masaa yote kuna insights za kutosha sana .
3. Wakati ukiwa unatrade hiyo demo account andika each and every single position utakayo fungua na kufunga, kuanzia mda uliofungua mpaka uliofunga pamoja pips ulizopata ama ulizopoteza na hii tabia usiache hata uje ufanikiwe vipi. Na ili ujue na uweze kufuatilia vizuri inabidi hizo notes zako zicover 24 hours kwa siku tano kwa mda wa miezi mitatu ambayo ni Q1 hii itakusaidia kujua ni mda upi ambao upo most volatile na mda gani masoko hayatembei. Pia hili litakusaidia kujua ni pairs zipi zina hela na pairs zipi ni kimeo na pair zipi zenye correlation pia itakupa mwanga mpana zaidi wa kutengeneza trading plan yako ambayo usijethubutu ukaenda against nayo ikija kukamilika, Plan your trade, Trade your plan always.
4. Patience na emotion elimination. Kwakuwa unaanza na demo hivi vitu hutavijua, ila siku ukifungua real account ukaweka pesa zako then ukafungua positions hii ndo utakuja kujua maana yake ni nini. You have to experience this on your own ili uweze kujicontrol. Naweza andika mpaka mwaka ujao ila hivi vitu viwili vipo damuni kwa kila binadamu na kuviacha huwezi ila tunachofanyaga ni kuji fine tune tu.
5. Tafuta strategy. Usinunue kwa mtu utauziwa utumbo uliooza (wakati naanza nilipigwa karibia 2000$ kununua strategies that never worked na robots zilizochoma account tu).
6. Forex si kwa watu wenye roho nyepesi, ila ukisha kamilisha hivyo vitu vyote na ukaona upo fresh fungua cent account deposit dola 4 nadhani ni kama buku 10 tu ambayo itakuwa kama cent 400 hii itakusaidia kukujenga kwenye point zangu za number 4.
Forex unaweza anza na 1$
Sawanaweza nika ku PM unieleweshe maana sina uelewa kabisa na hii trade systems
Huwezi linganisha forex na betting mchezo wa bahati na sibu, FOREX ni biashara ambayo inahtaj umakini, muda, focus malengo, kuzuia tamaa na kutambua unachokifnya hapo ndipo utakapo gundua FOREX ni nzuri na nibiashara ambayo ukiifnya kama biashara utafanikiwa saana, najua sisi wabongo tunapenda slope akat FOREX haiko hvyo, inakuitaj usome ili uongeze ujuz wa kupga pesa.Hbr za majukumu jamani . Samahani Naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi na hv vitu kipi kina risk kubwa kati ya betting nikimanisha masuala ya soka na vitu km hivyo ukilinganisha na forex trading.Mbili kipi kina hitaji mtaji mdogo kwa siku angalau elfu 50000 na faida isizidi 15000
Mkuu naomba unipe somo kuhusu forexsijawahi kubet ila natrade forex zaidi kwenye stocks( 6 years in a row tangu nimemalize chuo mi ofisi yangu ni chumbani kwangu) kama leo asubuhi nimefungua positions za kubuy uber. Nikifungua position yoyote either a buy/sell huwa na analyse mda mwingine hata mwezi kwa small cap stocks na miezi miwili kwa large cap sasa sijui kama kwenye kubet huwa wanafanya hivyo. Alafu forex imegawanyika katika vipisi pisi vingi tu, kuna wanao trade currencies, indices, indexes, stocks na commoities. Naamini katika Forex kila mtu anakuwa na style yake unique ambayo huwa anaitumia ambayo ipo suitable kwake yeye, hayo mambo ya mentors na kununua signals tupilia mbali kabisa asilimia 90% ya mentors wabongo ni matapeli. Kama unataka kuzama kwenye forex ntakupa ushauri wa bure ufuatao.
1. Anza kutrade Demo account kwa atleast mieze minne, hii itakupa picha ya jinsi masoko yanavyoenda na kama kweli umeamua kuinvest mda wako wote kwenye hili then ndani ya mwaka ni lazima uwe umefanikiwa. Hakikisha hiyo demo account utakayo fungua balance yake ni ile ile utakayo deposit, sio unafungua demo account ya usd 1 mil then unakuja deposit 100$.
2. Soma, narudia tena soma. Knowledge is power. Kuna pdf kibao online fanya research yako, telegram kuna magroup mengi tu ya traders library unaweza pata vitabu vya bure huko ambavyo vitakusaidia mbeleni. Fuatilia habari sana tu kama huna tabia hiyo ndo uanze lipia dstv angalia Bloomberg masaa yote kuna insights za kutosha sana .
3. Wakati ukiwa unatrade hiyo demo account andika each and every single position utakayo fungua na kufunga, kuanzia mda uliofungua mpaka uliofunga pamoja pips ulizopata ama ulizopoteza na hii tabia usiache hata uje ufanikiwe vipi. Na ili ujue na uweze kufuatilia vizuri inabidi hizo notes zako zicover 24 hours kwa siku tano kwa mda wa miezi mitatu ambayo ni Q1 hii itakusaidia kujua ni mda upi ambao upo most volatile na mda gani masoko hayatembei. Pia hili litakusaidia kujua ni pairs zipi zina hela na pairs zipi ni kimeo na pair zipi zenye correlation pia itakupa mwanga mpana zaidi wa kutengeneza trading plan yako ambayo usijethubutu ukaenda against nayo ikija kukamilika, Plan your trade, Trade your plan always.
4. Patience na emotion elimination. Kwakuwa unaanza na demo hivi vitu hutavijua, ila siku ukifungua real account ukaweka pesa zako then ukafungua positions hii ndo utakuja kujua maana yake ni nini. You have to experience this on your own ili uweze kujicontrol. Naweza andika mpaka mwaka ujao ila hivi vitu viwili vipo damuni kwa kila binadamu na kuviacha huwezi ila tunachofanyaga ni kuji fine tune tu.
5. Tafuta strategy. Usinunue kwa mtu utauziwa utumbo uliooza (wakati naanza nilipigwa karibia 2000$ kununua strategies that never worked na robots zilizochoma account tu).
6. Forex si kwa watu wenye roho nyepesi, ila ukisha kamilisha hivyo vitu vyote na ukaona upo fresh fungua cent account deposit dola 4 nadhani ni kama buku 10 tu ambayo itakuwa kama cent 400 hii itakusaidia kukujenga kwenye point zangu za number 4.
Forex unaweza anza na 1$
Chief ingia youtube search Adam khoo na scalp kings fx (hapa utajifunza forex basics kwa kiswahili)Wakuu napenda kufanya biashara ya Forex .......anayejua kuhusu Forex naomba unisaidie kunipa elimu juu ya hii biashara........ Aliye tiari naomba namba yake nitamtafuta
Inawezekana kupoteza yote tena kwa lisaa tuu.Kwa wajuvi, nikiwekeza 1M kuna uwezekano wa kupata faida kiasi gani baada ya mwezi mmoja
Wekeza kwenye elimu kwanza faida baadaeKwa wajuvi, nikiwekeza 1M kuna uwezekano wa kupata faida kiasi gani baada ya mwezi mmoja
Sasa inatofaut gani na bettingInawezekana kupoteza yote tena kwa lisaa tuu.
suresijawahi kubet ila natrade forex zaidi kwenye stocks( 6 years in a row tangu nimemalize chuo mi ofisi yangu ni chumbani kwangu) kama leo asubuhi nimefungua positions za kubuy uber. Nikifungua position yoyote either a buy/sell huwa na analyse mda mwingine hata mwezi kwa small cap stocks na miezi miwili kwa large cap sasa sijui kama kwenye kubet huwa wanafanya hivyo. Alafu forex imegawanyika katika vipisi pisi vingi tu, kuna wanao trade currencies, indices, indexes, stocks na commoities. Naamini katika Forex kila mtu anakuwa na style yake unique ambayo huwa anaitumia ambayo ipo suitable kwake yeye, hayo mambo ya mentors na kununua signals tupilia mbali kabisa asilimia 90% ya mentors wabongo ni matapeli. Kama unataka kuzama kwenye forex ntakupa ushauri wa bure ufuatao.
1. Anza kutrade Demo account kwa atleast mieze minne, hii itakupa picha ya jinsi masoko yanavyoenda na kama kweli umeamua kuinvest mda wako wote kwenye hili then ndani ya mwaka ni lazima uwe umefanikiwa. Hakikisha hiyo demo account utakayo fungua balance yake ni ile ile utakayo deposit, sio unafungua demo account ya usd 1 mil then unakuja deposit 100$.
2. Soma, narudia tena soma. Knowledge is power. Kuna pdf kibao online fanya research yako, telegram kuna magroup mengi tu ya traders library unaweza pata vitabu vya bure huko ambavyo vitakusaidia mbeleni. Fuatilia habari sana tu kama huna tabia hiyo ndo uanze lipia dstv angalia Bloomberg masaa yote kuna insights za kutosha sana .
3. Wakati ukiwa unatrade hiyo demo account andika each and every single position utakayo fungua na kufunga, kuanzia mda uliofungua mpaka uliofunga pamoja pips ulizopata ama ulizopoteza na hii tabia usiache hata uje ufanikiwe vipi. Na ili ujue na uweze kufuatilia vizuri inabidi hizo notes zako zicover 24 hours kwa siku tano kwa mda wa miezi mitatu ambayo ni Q1 hii itakusaidia kujua ni mda upi ambao upo most volatile na mda gani masoko hayatembei. Pia hili litakusaidia kujua ni pairs zipi zina hela na pairs zipi ni kimeo na pair zipi zenye correlation pia itakupa mwanga mpana zaidi wa kutengeneza trading plan yako ambayo usijethubutu ukaenda against nayo ikija kukamilika, Plan your trade, Trade your plan always.
4. Patience na emotion elimination. Kwakuwa unaanza na demo hivi vitu hutavijua, ila siku ukifungua real account ukaweka pesa zako then ukafungua positions hii ndo utakuja kujua maana yake ni nini. You have to experience this on your own ili uweze kujicontrol. Naweza andika mpaka mwaka ujao ila hivi vitu viwili vipo damuni kwa kila binadamu na kuviacha huwezi ila tunachofanyaga ni kuji fine tune tu.
5. Tafuta strategy. Usinunue kwa mtu utauziwa utumbo uliooza (wakati naanza nilipigwa karibia 2000$ kununua strategies that never worked na robots zilizochoma account tu).
6. Forex si kwa watu wenye roho nyepesi, ila ukisha kamilisha hivyo vitu vyote na ukaona upo fresh fungua cent account deposit dola 4 nadhani ni kama buku 10 tu ambayo itakuwa kama cent 400 hii itakusaidia kukujenga kwenye point zangu za number 4.
Forex unaweza anza na 1$
Powerful information.
Kwa wajuvi, nikiwekeza 1M kuna uwezekano wa kupata faida kiasi gani baada ya mwezi mmoja