Hizo betri TZ yetu zimeshafika au bado ????????? na ni sh.ngapi ???????Simu, tablet, & device nyingine yoyote,
Nimeisoma thread yako mpaka mwisho ili nijue ni betri ya kitu gani lakini hola, waweza nijulisha ni betri kwa ajili ya kifaa gani ??????????????
Naomba msaada wa link ya kudownload driver za printer >> photosmart All-in-one B010b>>