Beta system katika apps.

Emmanuel J. Buyamba

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,167
651
Wakuu, nilikuwa na install App ya Whatsapp kupitia Google play.Likaja neno downloading pending na hivyo kukwamia hapo kazi niliyokuwa naifanya.

Niliposhuka chini ndipo nikakutana na maneno haya,"Beta system is full"
Namna ya kufanya hapa sasa ndiyo nimeshindwa.Naombeni msaada wenu,
Beta system ni nini!? Nawezaje kukamilisha zoezi langu la ku-install hiyo app!?.
 
App au software ikiwa katika Beta version ina maana bado ipo katika majaribio inaweza kuwa na bugs na errors kibao ambazo zitaedelea kuwa solved then ndipo watatoa ambayo sio beta mkuu.
Nahisi hiyo version ya whatsapp itakuwa na feature mpya ambayo wanahisi huenda inaweza kusababisha errors na bugs kwenye baadhi ya simu
 
Kwa hiyo mkuu nifanyaje ili nidownload (Install) Whatsapp?
 
Kwa hiyo mkuu nifanyaje ili nidownload (Install) Whatsapp?
mara nyingi beta version zikitolewa ni kwa ajili ya majaribio na wanakuwa wameweka kiwango cha watu ambao wataidownload mfano milioni moja wakitimia hao wengine hawawezi kuidownload, ninahisi ndicho unakumbana nacho unaweza tumia link niliyo kuwekea au download previous version toka playstore
 
Uko sahihi kabisa.Na kuipata previous version nafanyaje!?Kwenye home page yao naona latest/new version tu ambayo ndiyo hiyo inazingua.
 
Uko sahihi kabisa.Na kuipata previous version nafanyaje!?Kwenye home page yao naona latest/new version tu ambayo ndiyo hiyo inazingua.
Mimi siyo mtumiaji wa adnroid hivyo sina hakika kwa playstore utafanyaje tumia hiyo link niliyokupa udownload apk directly uinstall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…