Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,167
- 651
Wakuu, nilikuwa na install App ya Whatsapp kupitia Google play.Likaja neno downloading pending na hivyo kukwamia hapo kazi niliyokuwa naifanya.
Niliposhuka chini ndipo nikakutana na maneno haya,"Beta system is full"
Namna ya kufanya hapa sasa ndiyo nimeshindwa.Naombeni msaada wenu,
Beta system ni nini!? Nawezaje kukamilisha zoezi langu la ku-install hiyo app!?.