ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Angekuwa Nominated kama hajulikani Africa? Angekuwa nominated mara mbili mfulilizo? Wangapi wanajulikana Afrika hawajawa Nominated tangu hizi tuzo Zianzee? Acha chukiNa nyinyi mnadhani Diamond anajulikana Africa yote [emoji23][emoji23][emoji23].
Nashauri kama tuna ubavu basi tujiunge na StarBoy kuzigomea hizi awards sio maneno ya mkosaji wakati kipindi cha mchakato tulikua busy kuomba kura na kujiaminisha kua tunashinda wakati tunajua soko la nje sivyo ambavyo tunaamini lilivyo kuna wasanii muziki wako kimataifa zaidi na sisi hatuwajui uku tukiamini Diamond anatambulika kimataifa kisa amepiga picha na Kanye West ni uzwazwa bado naamini Diamond akitoa albamu leo hii hakika tutanunua around Tz,Kenya na Ug lakini inawezekana Black Coffee ana soko kubwa duniani kwa albamu zake hapo ndipo panatakiwa pafanyiwe kazi sio hizi video za Godfather zisitupe kiburi cha kuvimba napenda kumpongeza Diamond kwa kuonyesha uungwana wa KUMPONGEZA Black Coffee kwa ushindi wakati sisi uku tunamponda inawezekana mwenzetu anamjua vizuri ila sisi tunaoamini muziki ni Diamond na Kiba ndio tunapiga makelele kama wehu,Diamond ni wakati wa kujipanga kwenda kimataifa usiamini hizi sifa zetu kua eti wewe ni msanii bora zaidi Africa wakati hata Black Coffee hatumfahamu mpaka leo BET wametujuza kua yupo.
Ulimpigia kura? Na unauwakika kwamba kashinda kwa kigezo cha wingi wa kura?hajulikani kwako!
blk coffee ni mwanamuziki sio mwimbaji dogo, ni DJ, producer na song writer na concert expert
Ulimpigia kura? Na unauwakika kwamba kashinda kwa kigezo cha wingi wa kura?
Wapi nimesema simtaki?sikupiga kura, na sina uhakika kama kashinda kwa kigezo cha kura, ila wenye mashindano ndio wamtangaza, hutaki TAFUTA yako!
Wapi nimesema simtaki?
nimekuuliza tu
Hiv ni kigezo kipi kinachotumika kumpata mshindi wa kila kipengele?
Ukweli ni kwamba hata Yemi alade anajulikana Africa kuliko Black coffee, achilia mbali Wizzy kid, Diamond na wengineo, kwa Dunia ya Leo ilivyo kijiji ntamshangaa mtu anayesema Black Coffee ni Msanii mkubwa Africa, Emptee tu yule mrangirangi wa Capetown ni maarufu kuliko hata Black Coffee, sema nakubaliana na mtoa mada kuwa lengo la BET labda nikuwa promote up coming artists!Na nyinyi mnadhani Diamond anajulikana Africa yote [emoji23][emoji23][emoji23].
Nashauri kama tuna ubavu basi tujiunge na StarBoy kuzigomea hizi awards sio maneno ya mkosaji wakati kipindi cha mchakato tulikua busy kuomba kura na kujiaminisha kua tunashinda wakati tunajua soko la nje sivyo ambavyo tunaamini lilivyo kuna wasanii muziki wako kimataifa zaidi na sisi hatuwajui uku tukiamini Diamond anatambulika kimataifa kisa amepiga picha na Kanye West ni uzwazwa bado naamini Diamond akitoa albamu leo hii hakika tutanunua around Tz,Kenya na Ug lakini inawezekana Black Coffee ana soko kubwa duniani kwa albamu zake hapo ndipo panatakiwa pafanyiwe kazi sio hizi video za Godfather zisitupe kiburi cha kuvimba napenda kumpongeza Diamond kwa kuonyesha uungwana wa KUMPONGEZA Black Coffee kwa ushindi wakati sisi uku tunamponda inawezekana mwenzetu anamjua vizuri ila sisi tunaoamini muziki ni Diamond na Kiba ndio tunapiga makelele kama wehu,Diamond ni wakati wa kujipanga kwenda kimataifa usiamini hizi sifa zetu kua eti wewe ni msanii bora zaidi Africa wakati hata Black Coffee hatumfahamu mpaka leo BET wametujuza kua yupo.
Me mwenyewe nimeshangaa eti Casper au AKA wanapigwa chini na huyu coffee
Hahahahahahaha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Ila umesahau kuweka alama ya mshangao!!! Baada ya kushangaa
who is diamond pliiz...!???
anaongoza mtumbwi wa vibwengo ..!!!Inaonyesha diamond bado ni underground kwa Africa ila kwa huku Tz anavuma vilivyo
Ah ah ah we nouma tatzo narudia tena hana management yenye elimu ya music overanaongoza mtumbwi wa vibwengo ..!!!
Mzungu sio mnafiki!! You get what you deserveOk ok okay naona Best International Act Africa ameshatajwa toka jana, here are my thoughts on BET.
BET naona wameprove kuwa label za nje haziwezi kusimamia muziki wa Africa. Kwa mara ya pili mfululizo anashinda mtu asiyestahili, mwaka jana Stanbwoy wa Ghana aliwashinda Wizkid na Fally Ipupa ambao ndio waliostahili kupata hiyo tuzo.
Mwaka huu pia naona wamemtambulisha tena mtu asiyefahamika Afrika kwa waafrika na kupelekea wabongo ambao ni team Wizkid wamsaliti boss wao na kuwa team kahawa. Mwenendo huu unaonesha kabisa kuwa BET hawaujui muziki wa Afrika hata kidogo kwani huyo blackcoffee anatamba Africa kusini pekee, lakini pia licha ya kwamba anatamba SA tu, hata huko bado hana uwezo wa kuwafunika AKA na Casper.
Wasauzi wengi walipeleka kura kwa Casper na AKA hivyo BET nadhani ni watenda miujiza kwa kweli. Mwanzo nilimuona Wizkid anazingua na angeweza kuharibu harakati za kuingia katika soko la Marekani kisa hajaenda BET ila sasa nimepata jibu. BET ni platform ya kuwasaidia wasanii chipukizi kujulikana katika international market hivyo ni wakati sahihi kwa wasanii wakubwa wa Afrika kutohudhuria tena BET kama WizKid.
Mshindi wa mwisho wa BET ambaye alistahili ni Davido basiii wengine hamna kitu na ndio maana hata sasa wengi wenu hamumjui Stonebwoy na hata huyu coffee Olomide baada ya hekaheka za BET hamtamsikia teeeena.
Lakini pia ifike wakati mashabiki wa Diamond wawe na busara. Sio kisa Diamond kakosa basi ndio muanze kutukana watu mitandaoni, mnaharibu image ya Diamond lakini kikubwa zaidi image ya taifa. Watanzania tunaanza kuonekana wajinga kisa watu wachache, mbona wanaija hawatukani???[emoji34]