Best way to make love

1. Ummuwekee hela kwanza mezani umwambie hizi za shopping kesho

alafu ndo ufanye hayoo uliyoyataja.
 
Badala ufundishe watu njia za kutafuta hela na kufanya kazi kwa juhudi, unafundisha jinsi ya kufanya mapenzi.

Ni vyema elimu hii ungewafundisha watoto wako kama unao, na kama hauna subiri ukishawapata uwafundishe. Itawasaidia maishani.
kuna jukwaa la uchumi. nenda huko mkuu
 
Kuna sehemu zimenichekesha "erection of the nipples" huwa zina erect au?
And that part ya "remove your dick" huwa unairemove from you body?
Serious hujui kuwa mwanamke akiwa aroused nipple zake zinakuwa ngumu??
 
Serious hujui kuwa mwanamke akiwa aroused nipple zake zinakuwa ngumu??
Kuwa ngumu ni erection na sio they become hard. Kwahiyo kila kinachokua kigimu kinakua kime erect??
 
Nimejuta kuingia hapa
Hii sio fair kwa masingle lady kama sisi jamani
.
 
Kuna sehemu zimenichekesha "erection of the nipples" huwa zina erect au?
And that part ya "remove your dick" huwa unairemove from you body?
Huwa zina erect ndio, labda hiyo remove
 
Kuwa ngumu ni erection na sio they become hard. Kwahiyo kila kinachokua kigimu kinakua kime erect??
Lakini nadhani jamaa hajacheza mbali sana na alichokuwa ana kimaanisha.."erect" linatumika sehemu mbalimbali sio kwenye dushe tu..mfano mtu akisimama straight anakuwa amestand erect

Na ziwa linavyokuwa gumu ni sawa kusema limeerect
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…