Best video editing Program

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,307
Reaction score
3,416
Habari zenu wakuu,

Naombeni msaada wa kujuzwa kwa yule ambae anafahamu ni application gani nzuri kwa ajili ya video editing kwenye pc ambayo unaweza kuchanganya,video normal picture,ukaweka background music na pia unaweza kufanya voice over.

Thanks in advance.
 
Ngoja niwahi seat nami nipate maujuz
 
adobe premier pro hii ni nzuri na itakufaa
pia pinnacle studio ina mahitaji yako yote uliyiyataja na ni nzuri na rahisi kwa beginner
ushauri wangu tumia pinnacle studio ikiwa wewe ni beginner,ukiielewa vizuri nenda kwenye adobe...
 
Adobe premiere pro cc 2019
Ahsante ila mi nahitaj ambayo ni simple tu sio complicated,hyo after effect si mpaka uende class kbs otherwise unahtaj muda mwingi wa kujifunza.nahtaj kampuni nyingine apart from adobe
 
ukitaka visual effects tumia adobe after efffects.,Na Kama Unatumia MAC CHUKUA FINAL CUT PRO...
Happy editing.....
 
adobe premier pro hii ni nzuri na itakufaa
pia pinnacle studio ina mahitaji yako yote uliyiyataja na ni nzuri na rahisi kwa beginner
ushauri wangu tumia pinnacle studio ikiwa wewe ni beginner,ukiielewa vizuri nenda kwenye adobe...
Thanks sana,
 
Pinnacle Nzur Kwa anayeanza Au Sony Vegas pia anaweza kutumia Moja kati ya Hizii
 
Use Camtasia Studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…