Mimi nipo ya 9, inaboa, nimefika E4 nimeichoka, nitaendelea nikikosa movies za kuchek.mkuu apo nimechek vampire dairy bado the original ila walking dead nimeziona Sema inaboa mwishon kama wanatoka nje ya story line sana kila kundi linaleta ubabe kweny kundi lingine vip wew umefika season ya ngap mkuu
daaa mkuu kumbe tuko pamoja mm series ikichanganya story tu bac inanishinda mfano wa series ambazo kwa upande wangu ni kali sanaaaa na zimenishinda uko mbeleMimi nipo ya 9, inaboa, nimefika E4 nimeichoka, nitaendelea nikikosa movies za kuchek.
Hapo ambayo sijaicheki kabisa ni Gotham.daaa mkuu kumbe tuko pamoja mm series ikichanganya story tu bac inanishinda mfano wa series ambazo kwa upande wangu ni kali sanaaaa na zimenishinda uko mbele
1 arrow season 6 nikatupa
2 the 100 season 6 nikatupa
3 the walking dead season 8 nikaacha
4 Empire napenda masong lakn inaboa nimefika season 5 nikatupa
5 Gotham niliishia season 2
Kwangu mim series ninazo zirudi nikiwa na arosto
1 game of throne nimeirudia ×4
2 Vikings nimeirudia ×4
3 24 mtaalam jack Bauer ×3
daaa ngoja niitafute sijaichek hiiTwilight ziko poa Sana.
Respect
mkuu vip ww uliweza kuzimaliza mpak mwishoHapo ambayo sijaicheki kabisa ni Gotham.
Bruce Campbell, daah kitambo.Kuna ile jamaa alikua ana chain saw..halafu akamezwa na kitabu..Mwisho kabisa alipewa dawa ya kuishi miaka mia akanywa akalala miaka 100 akaamka mzee....
Sijui inaitwa Army of the Dead
......UPDATES....
Nimeipata.
Ya kitambo sana mkuu..Bruce Campbell, daah kitambo.
Kama haujaiweka VAN HELSING basi hii list ni batili.Kwa wazee tunaokubali movies au series za wazee wa ngwasuma ma vampire tukutane apa tupeane update kwangu mm movies bora nilizo ziona ni
Underworld
Underworld rise of lycan
Underworld awaken
Underworld blood war za mtaalam Kate Beckinsale uyu demu ni mashine
Underworld evolution kwangu mm hii ndio best of all
Blade 1
Blade 2
Blade trinity za mwanaume wa kazi Wesley snipes
Van helsing
Pia Kuna mashine za resident evil zipo kama nne ni moto karib utupe kali zako View attachment 1319433View attachment 1319434View attachment 1319435
Noma sana mkuu yaani natamani ilete muendelezo aisee.Van Heilsing ndio baba lao..
Mkuu ipo kweny list check vizur
The return of the living dead, enzi zangu za movie ya kitambo za siku hizi nimekosa mda
tafuta muda mkuu japo masaa mawili una refresh mind kiainaThe return of the living dead, enzi zangu za movie ya kitambo za siku hizi nimekosa mda