Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,039
- 6,917
mkuu ngoja niisake iyo mashine bado sijaichek
Nzuri sana
Tamu sana hii
Hii kitu ni noumaaaa...
🤣 🤣 army of darkness, bruce campbellKuna ile jamaa alikua ana chain saw..halafu akamezwa na kitabu..Mwisho kabisa alipewa dawa ya kuishi miaka mia akanywa akalala miaka 100 akaamka mzee....
Sijui inaitwa Army of the Dead
naikubali sana hii, kuliko iyo 1 na 3, Underworld nazikubali ina story-line tamu sana, Resident Evils hua nashindwa kuzielewa aisee, ki action ziko poa hasa kwenye kile chumba cha Laser 🤣 🤣Blade 2
mkuu umemchek underworld evolution japo ni ya kitambo lakn ni moto wa ges inaelezea story line ya koo za ma vampire zilivyo Anza kama bado ichek mkuuVan Heilsing ndio baba lao..
vip mtaalam hakuna movie au series za wazee wa ngwasuma ma vampire kali ambazo unanazo u share nasii tuzitafute
jeepers crapers ni moto ila bado sijaichek namb 2 yakeHii kitu ni noumaaaa...
Jeepers crapers pia..
mtaalam Wesley snipes daywalker aliua baraaaa ila Underworld kwangu mm naona ni moto zaid inaelezea vizur blood line ya ma vampire vizuri sana vip mkuu Kuna nyingine unazo zikubal na sisi tuzitafutenaikubali sana hii, kuliko iyo 1 na 3, Underworld nazikubali ina story-line tamu sana, Resident Evils hua nashindwa kuzielewa aisee, ki action ziko poa hasa kwenye kile chumba cha Laser 🤣 🤣
huu moto bado sijauchek ngoja niutafute
zipo 3, tafuta namba 1 na namba 2, japo iyo ya 3 ndio naikubali maana ina story nzuri na unpredictablehuu moto bado sijauchek ngoja niutafute
mkuu apo nimechek vampire dairy bado the original ila walking dead nimeziona Sema inaboa mwishon kama wanatoka nje ya story line sana kila kundi linaleta ubabe kweny kundi lingine vip wew umefika season ya ngap mkuu