Best speech kutoka kwa George W. Bush, kuhusu wanachuo waliopata matokeo hafifu

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,162
3,086
To those of you who received honours, awards and distinctions, I say well done. And to the C students, I say you, too, can be president of the United States.
George W. Bush




 
Dah! Huu ndio uzalendo wa kweli but kuitwa 'kilaza' inaumiza sana.
 
da.. imegoma kucheza.. "there was a problem while playing this vdeo"...

hili ttzo huwa linanisumbua sana... ttzo ni simu yangu au?
 
Kiongozi ambaye hawezi ku inspire mtu aliye dhaifu kwa maneno ya kumtia moyo ili apige hatua kwenda mbele, huyo hafai kuwa Kiongozi.
 
Back
Top Bottom