Best ringtone kwa mpenzi wako

nimemuwekea mawaidha yakuhamasisha wanaume tuoe wake wanne

JAZAKALLAH KHERI!
Lkn cku akickia ndio mwisho wako kupata papuchi. Hawapend kuolewa mitala wkt wanajua kuwa wanawake n wengi sn kuliko wanaume so km kila mwanaume akioa mke m1 watabaki wengi sn wasio na ndoa. Wataenda wapi!?
 
Ivi bado hii style ipo kumbe ngoja nijaribu inaweza kuleta ashki hee
 
Karucee .....

Njoo basi uwaambie niliokuwekea maana nis iri yako tu wewe nikupendae ....

Hahahaaaa.
Lol
Husbands wengine nlishawasahau kama nao wa kwangu.
 
Last edited by a moderator:
JAZAKALLAH KHERI!
Lkn cku akickia ndio mwisho wako kupata papuchi. Hawapend kuolewa mitala wkt wanajua kuwa wanawake n wengi sn kuliko wanaume so km kila mwanaume akioa mke m1 watabaki wengi sn wasio na ndoa. Wataenda wapi!?

wanakua michepuko!
 
Duuu mimi simu yangu ipogo silent muda wote nilichompendelea ni nimeweka picha yake so akipiga najua ni yey
 

Afadhali nisome hapa Afadhali hapa Huko kwingine mara mtu kapanda basi mara vile vurugu tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…