Best ringtone kwa mpenzi wako

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
516
Reaction score
377
Hodi wana MMU,

Tujuzane wimbo ambao umemchagulia mpenzi wako ambapo simu yako ikiita tu lazima usisimke na uache kila unachofanya.Mimi niliedit wimbo wa Manesa Sanga "CHAGUO LAKO" coz nategemea kuoa kabisa.

Weka wako tulinganishe ujumbe unaopatikana katika wimbo huo.

Nawasilisha
 
Karucee .....

Njoo basi uwaambie niliokuwekea maana nis iri yako tu wewe nikupendae ....
 
Last edited by a moderator:
Karucee .....

Njoo basi uwaambie niliokuwekea maana nis iri yako tu wewe nikupendae ....

Mwambie afanye haraka bhana tujue. Lkn ww ndo cm yako inaita akipiga
 
Last edited by a moderator:
Wana tabia ya kukubip halaf anasikiliza wimbo gn unaita. Sasa akisikia kanokia tune c itakuwa shida!?

ha ha ha itabidi akubali.. akitaka ringtone aweke kwenye simu yake yeye
 
Hebu weka huo chaguo lako tuusikie! Labda na mm nitashawishika kumuwekea laazizi wangu!
 
Sina mpenzi, nimejiwekea wimbo wangu tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…