mambo yote ni Nokia 3310
mimi napenda cameraphone
kama unapenda cameraphone kwa symbian chukua nokia 808 pureview kama unahela maana ni kama laki 9 na kama huna hela nunua nokia n8 ambayo ni bei rahisi. Nokia 808 ina 41 megapixel camera na ndio cameraphone bora duniani bila ubishi.
Inatumia symbian belle na ndio symbian pekee ilobakia kupata support
n8 ipo powered na 12 megapixel na ndio cameraphone ya mwanzo inatumia symbian anna na inaweza ku upgrade kwenda symbian belle
mimi sipendi touch screen
hapa utakua na option 2 kwenda kwenye qwerty au candybar kwa qwerty simu bora ni e5 kwa sababu ina ram na processor kubwa kuliko symbian zote za qwerty processor 600mhz na ram 256 mb
kwa simu za candybar nokia c5-00 ni bora zaidi ikiwa kama e5 kwa specification sema simu hii imemiss tu wifi support
mimi napenda touch na type
hapa simu nzuri ya symbian yenye sifa hio ni nokia e6 ikiwa na symbian ana na kua upgraded to symbian belle kama vile n8 ina screen ndogo kwa macho na kubwa kwa resolution na clear screen bila kusahau 8 megapixel camera
mimi napenda touch screen tupu
kuna twins hawa wawili nokia 700 na nokia 701 myself naprefer 701 sababu ina front camera lakini 700 ina muonekano mzuri zaidi.
Hizi simu zinakuja na belle na ukiupgrade kwenda belle fp2 processor inaenda hadi 1.3 ghz kwa symbian ilivo light ni very fast zipo smooth na nokia 701 ndo simu yenye brightness kubwa duniani kama unayo ongeza hadi mwisho toka juani uone utavokua suprised.
nokia 700 ina storage 2gb ram 512 na rom 1gb processor ndo hivo zaidi ya 1ghz inshort ipo kisasa sema haina front camera hapo ndo imezidiwa na 701
hii ina storage 8gb na front camera vyengine kama nokia 700
kwa upande wa nokia n9 sio symbian lakini ni nzuri kuliko symbian ina meego ambayo ni nzuri kwa moding.
Mpaka sasa n9 inauwezo wa kuboot operating system 7 kwa mpigo.
mkuu mbona hizoy nyingine hujaweka bei hapo tuzijue??? tusaidiane hizo bei