Tupia movie kali za kusisimua za mwaka 2014 ambazo hauta zisahau na pia na kwako unaona ni best movie kwa mwaka 2014 angalau tano tu siyo za kibongo za mbele
Ongeza na hizi..
Captain America The Winter Soldier
Noah
Godzilla
A million ways to die in a west
Enders Game
Into the storm
Predestination
The November man
The Purge Anarchy
Iyo hapo inaitwa fury bonge la movie yupo brad pitt na jamaa zake wanne wote wanafia ndani ya tank na dogo mmoja anafanikiwa kutoka mzima itafute hiyo.ilitoka mwez October 2014
View attachment 221420
Iyo hapo inaitwa fury bonge la movie yupo brad pitt na jamaa zake wanne wote wanafia ndani ya tank na dogo mmoja anafanikiwa kutoka mzima itafute hiyo.ilitoka mwez October 2014
Wewe jamaa kama ilikuwa na mimi leo nimeiangalia hii Movie leo tuu yaani tena youtube, nimeamsha mikono juu Brad Pitt kiboko hii ni movie bora kwangu kati ya zile movie bora kuwahi kuziangalia