Best dialogue ya mwezi wa nane

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
๐ŸŽต๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽผ
๐Ÿ‘ค for Roma na
๐Ÿ™Š for Stamina
๐Ÿ‘คKaribu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h,
๐Ÿ™Š nimipango ya mungu na nimekumisi swaibah
๐Ÿ‘คvipi nchi yangu Mtawala ni chama ganiโ•โ—โ“
๐Ÿ™ŠBado ni C C M,Ingawa kuna Upinzani...
๐Ÿ‘คunamaana gani!? Kwaiyoo Raisi ni NANi!?
๐Ÿ™ŠRaisi ni JOHN ndo anaongoza usukani..
๐Ÿ‘ค John Malechelaaah
๐Ÿ™ŠNooh Magufuli,ulimuacha ni mbunge wa Chato,Sijui unamkumbuka vizuri..
๐Ÿ‘ค Hahaa..ngoja kwanza unajua haya mambo haya minilizani alipotoka Mkapa angefata Jakaya!.
๐Ÿ™Š Jakaya alitawala akaja akaritaya(retire) nimeacha mengi yaani mambo ni moto mambo ni fayah
๐Ÿ‘ค Aaha mbona nasikia mambo haiko sawa na kina nani hawa ambao wanajiita UKAWA
๐Ÿ™Š ni wapinzani waliungana lakini hawakumshinda MAGU wengine chama walihama na bado wakapata TABU <Sanaaa,>
Kakomesha ufisadi.<Kodi> Kaongeza ukusanyaji Hakika wamepata mkombozi atayewafikisha nchi ya ahadi
๐Ÿ‘คNilisikia siku hizi bunge halionyeshwi kwenye inamaana hoja za viongozi wanachi haziwafikii na mitandao ya kijamii je vipi haiwasaidii!?
๐Ÿ™ŠKuna Dada anaitwa Mange pliizi..(laxima...)
๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽถ
๐Ÿ‘คje! Vipi kabuli langu tayari walilijengea na vipi kuhusu mke wangu maria wanamtembeleah!?
๐Ÿ™ŠKuhusu kumtembelea hilo toa shaka wanamjali na kumlea tena kwa heshima na mamlakah..
๐Ÿ‘คNa nimemwona shemeji yangu h amakweli mnapendana mmefatana penzi la kweli kufa na kuzikana vipi mwanangu makongolo Mali zangu anazichungah!.
๐Ÿ™Š an'ghaa Bora wakwako mwenzie bize na TUNDAH.. Mm.mh..hivi Julius ulikua simba au yanga!!
๐Ÿ‘คkiukweli niliipenda Yanga ila simba ni kisangah.
๐Ÿ™Šenhehee..mwalimu unajua hadi kisanga!?
๐Ÿ‘คhata hilo nasikia mengi kibamia hadi kudangah..nimemwona komba huku nyimbo za chama anatunga nani!?
๐Ÿ™ŠMi nasikia wanaisoma namba Ila sijui ameitunga nani!?
๐Ÿ‘คSijakuelewa kwani anaesimamia sanaa ni nani!?
๐Ÿ™Šmmh..lipo baraza ila wasanii wanaishi uani..

๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽต
๐Ÿ‘คKuhusu mungano bado upo ama umechujah!?
๐Ÿ™Š mpemba anauza kariakoo na mzalamo anaduka ungujah!
๐Ÿ‘คUjinga Maradhi na Umasikini bado maadui nipe taarifah.
๐Ÿ™Šujinga angarau ao wengine janga la taifa..
๐Ÿ‘คna kuhusu barabara..!
๐Ÿ™Šzipo
๐Ÿ‘คmadaraja
๐Ÿ™Šyapo
๐Ÿ‘ค Kama ndivyo inamaana uchumi unapanda enhee..
๐Ÿ™Šmmmh..wanadai cherehani mbili ukiwanazo unakiwanda vyuma viko still na kuna hospitali hazina vitandah
๐Ÿ‘คBado nina maswali mengi vipi mwenendo wa katiba.!
๐Ÿ™Šmchakato ulisitishwa inasemekana walimpigah.!
๐Ÿ‘คwalimpiga nani na kina nani na nini alifanyah..!?
๐Ÿ™ŠMwalimu sijui ila ni watu WASIOJULIKANA..
๐Ÿ‘คwaliompiga risasi lissu
๐Ÿ™Šni watu WASIOJULIKANA..
๐Ÿ‘คkina nani walimteka Roma?
๐Ÿ™Šni watu WASIOJULIKANA..
๐Ÿ‘คna wanaoteka waandishi wa habari?
๐Ÿ™Šeenhe sijui ni watu WASIOJULIKANA..

๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽค๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽผ
 
Nimeusikia Jana kidogo mtu wa Toyo alipita,unaitwaje?
 
Hizi ndo ngoma zilizompa umaarufu Roma, sijui ilikuaje akaimba kibamia.
Z
 
Roma akiachaga kuimba nyimbo ka hizi huwa anapotoka mbaya! Asili hutambulisha asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ