Berreta!

Berreta!

sezary

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Najua nihaki ya kimsingi kwa mtu yoyote anaye kua navigezo vya kumiliki silaha(hasa bastola/pistol),lakin wana JF naombeni tutafakari kwa makini,hivi niwangapi wamepoteza maishayao au malizao japo wanamiliki hizo silaha,na wanashindwa kujiokoa nazo! Nakama wapo kwenye kumi yupo mmoja labda,sasa ivi tindikali (conc acid)imeshika kasi pamoja na matumizi ya silaha za kivita kutumika kwa mauaji ya raia,kama SMG ilivtumika kumuulia Erasto AR. Kwa mtazamo wangu kwa wana JF sioni umuhimu wakumiliki berreta,labda riffle yakuwindia wanyam upate mboga pori kidogo! ANGALIZO,watu waheshimu,kuzingatia,majukumu yao,kwani silaha yako ni heshima,acha zuluma,zarau za kizoba,nk.kama nimwanasiasa acha longolongo kwa wananchi unao waongoza,watanzania wanaelekea kuchoshwa namatatizo walio nayo! Ni hayo tu . 1379479843258.jpg
 
Back
Top Bottom