Unauliza kuhusu Bermuda Triangle na Area 51?
1. Bermuda Triangle habari zake zipo katika kitabu ''Chapters of Life'' cha Lobsang Rampa.,ipo chapter 4 au chaper 3. Kwa kifupi inasema kuna invisible world close to this world of a polarity opposite to this world,kwa hiyo there are certain places in the world,kwa mfano Bermuda Triangle ambapo vitu toka dunia hii vinatoweka,vinaenda katika dunia ile. Pia vitu vinaweza kutoweka katika dunia ile vikaja hapa.
2. Area 51 in Nevada ni Military Base ambapo research inafanyika kuhusu secret weapons. Hizi bases kama Area 51 ,zipo nyingi Marekani. What is important kuhusu hizi bases ni kwamba earth scietnists wanafanya research wakishirikiana na alien scientists kutoka Orion Constellation. Apparently,kulikuwa na mkataba wa kufanya research kati ya wanasayansi wa Kimarekani na hawa alien scientists. If you cross a horse and a donkey,you get a mule,right? Hapa Area 51 they can cross any animal,with any animal,and get a new creature. Any animal,yaani,hata binadamu. Fikiria to cross a human with a lion.