Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Giroud nakismart cha kuitwa timu ya taifa na kupachika magoli
Marcus Thuram ana undugu na Lilian Thuram(mchezaji wa zamani wa Taifa hilo?)Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena kwa video ya mapenzi miaka mitano iliyopita.
Kocha Didier Deschamps mwaka huu kaamua kumuita tena nahodha huyo mwenye magoli 29 katika michuano yote msimu huu (2020/2021) baada ya kuongea nae kirefu zaid. Karim Benzema ataitumikia timu yake ya taifa katika michuano ya Ulaya (EURO) itakayo anza mwezi Juni mwaka 2021.
Wafautao ni wachezaji waliopata nafasi kuitumikia Ufaransa katika michuano ya Euro 2021.
Kipa- Hugo Loris, Steve Mandanda, Mike Maignan
Beki wa kati - Raphael Varane, Kurt Zouma, Presnel Kimpembe, Jules Kounde, Clement Lenglet
Beki wa pembeni Kulia - Benjamin Pavard, Leo Dubois
Beki wa pembeni kushoto - Lucas Hernandez, Lucas Digne
Viungo - Adrien Rabbiot, N'gole Kante, Paul Pogba, Corentin Tolisso, Moussa Sissoko
Winga wa kulia - Antoine Griezmann, Ousmane Dembele, Kingsley Coman
Winga wa kushoto - Kylian Mbappe, Marcus Thuram, Thomas Lemar
Striker - Karim Benzema, Oliver Giroud, Ben Yedder. View attachment 1790231View attachment 1790232
Umeniwahi kuuliza ingawa tayari nishaulizaFrance ndo chama langu.
Kwa anaejua anijulishe,hivi huyu Marcus Thuram ni mtoto wa beki wa zamani wa France Lilian Thuram?
Ndio maana mimi naishangilia nikiona kama timu ya afrikaFrench national team
90% of african origin
SafNdio maana mimi naishangilia nikiona kama timu ya afrika