Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Your thinking is very myopic to say the least.
It doesn't matter if Uhuru Kenyatta is going to the Hague or not (in my opinion he will not go)
...what matters is the consequences that Kenyans have to face. Giving me an example of Bashir goes to show your appreciation of all matters political and I will live you at that. Its the same scenario in Zimbabwe under Mugabe...just ask the local people how hard life is under such regimes and you will get a clear answer.
Meanwhile, GADO the Tanzanian artist puts the icing on the cake with his illustration:
Waafrika tuangalie udhaifu wetu wenyewe. Obama anaingiaje ktk siasa za Kenya?. Si Obama aliyewambia muuane mwaka 2007. Kupanga ni kuchagua. Mliamua kuwa liwalo na liwe lakini lazima Uhuru atakuwa Rais wa Kenya, hata kama alishiriki kufadhili Mungiki, kundi la majambazi kuua Wakalenjin na makabila mengine ili Raila asiwe Rais wa Kenya mwaka 2007. kujisawazishia njia aingie Ikulu mwaka huu 2013. Alihakikisha kuwa Rais Kibaki anaendelea kwa awamu ya pili na kulingana na katiba asingegombea tena, na kwa kuwa ni Mkikuyu mwenzie angemuunga mkono hata kwa chini chini.
Hayo yote amefanikiwa. Hata kama Kenya ilikuwa ni lazima itawaliwe na Mkikuyu, Wakenya walikuwa na nafasi ya kuteua Mkikuyu mwingine ambaye pengine angekuwa na sifa zaidi ya Uhuru, ambaye alishiriki kutoa roho za Wakenya zaidi ya 1500 kwa ajili ya ukabila na uchu wa madaraka, lakini Wakenya kwa ukabila walipuuza na kufikiri wanamkomoa mtu bila kujali kama alikuwa anakabiliwa na kesi The Hague. Na wakaamua kumchagua. Sasa ndiyo wataanza kuipata kuwa tatizo la watu 2 litaleta matatizo ya kutengwa na dunia kwa nchi nzima. Msilalamike mliyataka wenyewe na msilaumu mtu. Wachawi ni nyie wenyewe. Mtoto akililia wembe mpe ajikate.
We have been saying this for ages but it is not that the average Kenyan is impervious to reason but that the neocolonialists had all the bases covered and imposed on Kenyans the two war suspects. Thank you Dr. Job for sharing Gado's work and for hitting the nail on the head.