Benki ya wanawake..twb..

Benki ya wanawake..twb..

Status
Not open for further replies.

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
hii bank ina uzembe fulani mwaka 2011 nlitoa hela milioni 1 kupitia kwa tellar baada ya lisaa nkaenda atm ntoe hela zaidi la ajabu nlikuta ile mil 1 nliyotoa haijapunguzwa nlivyoona hvyo nkatoa hela zote kwenye ac yangu ...walin2mia sms baada ya mwezi kua nmeover withdraw nrudishe hyo hela nkachuna kuna meneja baada ya wiki 2 alianza kuntafta nrudishe hyo hela ila hakua seriour bz alianza kuntisha kua nlete hyo hela ndani ya cku 2 au atume polisi wankamate ALIPONTISHA NDIPO ALIHARIBU bz sikurudisha akawa anakaa kama mwezi anantafuta hadi kipindi kama mwaka na nusu ukapita ndipo nkaona nrudishe tu hyo hela kwa kuiweka ac yao bz nlikua mwanza...,.juzi rfk yangu alienda kudraw hela situation ikajirudia..... Nna mashaka na taaluma za staff wa hii bank na uongozi wake
 
kumbe hii bank ina uzembe wa hali ya juu namna hii?
 
Dada tausi2 kama kilitokea ulichoandika hapa basi managing director hana wasaidizi. Hawako serious kwa kuwa wanaendesha bank kwa ruzuku ya serikali. Leo asubuhi kuna member aliweka tena tuhuma nzito za hii benki.
 
zile haari zina ukweli ndo mana hata ufanisi na umakin ni 0
 
Ile topic ya upotevu wa pesa TWB imejadiliwa kwa nguvu zote na maamuzi yakatolewa........waiteni JF wablock hiyo topic kwa gharama yoyote (harufu ya uchakachuaji hata JF) ! It seems wamefanikiwa, the original post has been closed while post zozote za 2011 bado zipo open!! JF kuna nini? Habari za kuaminika tumezipata mchana leo kuwa wanatafuta mchawi pale branch!
 
Moderate hao ni waongo issue ipo wazi sana cjue kwann wamefunga post yangu? Au ndio hizi rushwa naomba majibu ya kina na waje na majibu hizo tuhuma zablon wewe ni mgeni acha kuchakachuwa wewe unajuwa ukweli kuwatishia hao vijana hakusadie. Au ni siri kuwa mtoto wa mama chacha amepandishwa cheo ndani ya mwexi huu na mshahara wake kupanda nayeye ni alikuwa na mshahara mkubwa kuliko hao macistomer advisor tunayo hata copy salary slip na copy baruwa ya jupan

kupandishwa mshahara piya baruwa aliyomkatalia branch manager majukumu ya kubeba funguo na hakuchukuliwa hatua branch manager akafokewa na mams chacha keanni anataks kumpavfunguo ili achelewe kutoka
 
hii bank ina uzembe fulani mwaka 2011 nlitoa hela milioni 1 kupitia kwa tellar baada ya lisaa nkaenda atm ntoe hela zaidi la ajabu nlikuta ile mil 1 nliyotoa haijapunguzwa nlivyoona hvyo nkatoa hela zote kwenye ac yangu ...walin2mia sms baada ya mwezi kua nmeover withdraw nrudishe hyo hela nkachuna kuna meneja baada ya wiki 2 alianza kuntafta nrudishe hyo hela ila hakua seriour bz alianza kuntisha kua nlete hyo hela ndani ya cku 2 au atume polisi wankamate ALIPONTISHA NDIPO ALIHARIBU bz sikurudisha akawa anakaa kama mwezi anantafuta hadi kipindi kama mwaka na nusu ukapita ndipo nkaona nrudishe tu hyo hela kwa kuiweka ac yao bz nlikua mwanza...,.juzi rfk yangu alienda kudraw hela situation ikajirudia..... Nna mashaka na taaluma za staff wa hii bank na uongozi wake
Umeshasema ni benk ya wanawake na huoni uzembe nje nje. Hata kwenye siasa mwanamke na mwanaume wakigombea urais atakayeshinda ni mwanaume. Hata wapiga kura ambao wengi ni wanawake humpigia kura mwanaume.
 
Duh! Nashukuru kwa ujio wa post hii ingawa mleta hoja na baadhi ya wachangiaji hawatumii kiswahili fasaha. Kuna mama mmoja alikuwa akinishawishi nifungue account ya TWB kumbe ni miozo kiasi hiki! dada tausi2 shukrani sana.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom