Benki ya Posta Tanzania

Benki ya Posta Tanzania

Mr. Tanzania

Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Habarini wanajamvi,

Jamani nimebaki njia panda hivi unapoambiwa (salio lako la leja ni74,990. Salio lililobakia ni 17000)

Sasa salio la leja ndio nini?

Naombeni ufafanuzi wakuu
 
Habarini wanajamvi,

Jamani nimebaki njia panda hivi unapoambia (salio lako la leja ni74,990. Salio lilibakia ni 17000)

Sasa salio la leja ndio nini?

Naombeni ufafanuzi wakuu

74,990.00 - 17,000.00= 57,990.00

Umeelewa sasa? kama bado sema nifunguke.......................................................................................................
 
Back
Top Bottom