Benki inaungua

We chiz! una2pigia mwan0 kwa mahaba yak0?

Mambo ya uchizi yanakujaje hapa? Tangia uwajue machizi uliwahi kukutana chizi mwenye kompyuta au anaetumia internet? Sio poa hivyo kama hakuna chakuchangia nenda jukwaa la wakubwa ukapumzikie huko.
 
Sasa mkuu si unipe wazo ka biashara ili iongezeke nifikirie hata kukukopesha baadae zikiwa nyingi. Biashara yangu yamwanzo imesimama kwa muda sasa si unajua operesheni safisha jiji imeondoka na investment zetu.
 
NaMtumba, hapo nilipobold ndio panasumbua.
 
Bora nilikuacha maana sahizi ungekuwa unanifanya nishindwe kuwatizama mashostito wangu miss neddy, ICHANA Bantu lady...nilikuwa najitamba umetulia kumbe kha,
Kama inaungua wacha nikusaidie kuhifadhi zilizobaki

ha ha ha hafai kwa speare tyre mwache aliwe na pesa yake na wadada wa mjini...stress ya nni best
 
Leta niwekeze kwenye kampuni yangu ya kilimo nitakuuzia share
 
Naona unapiga promo humu ndani ili upate wa-beiby..naona wamesha kusoma..subiri pm zianze kumiminika!
 
Naona unapiga promo humu ndani ili upate wa-beiby..naona wamesha kusoma..subiri pm zianze kumiminika!

Sio promo mkuu mzigo unaisha vibaya. Kama ningekuwa naendekeza mambo hayo nisingewwza kuzichangisha hadi nilipofikia.
 
Sio promo mkuu mzigo unaisha vibaya. Kama ningekuwa naendekeza mambo hayo nisingewwza kuzichangisha hadi nilipofikia.

hizo hela ni za zimbabwe? Kama ni za kibongo muongo mkubwa wewe., kila siku unashindia chips kavu
 
Duh mkuu, Kuna thread nilikusoma, ulisema unauza bisi pale mwenge, kumbe zinalipa hivi
 
Bora nilikuacha maana sahizi ungekuwa unanifanya nishindwe kuwatizama mashostito wangu miss neddy, ICHANA Bantu lady...nilikuwa najitamba umetulia kumbe kha,
Kama inaungua wacha nikusaidie kuhifadhi zilizobaki

hahahaa shosti hafai huyu leteni niwawekeee hizo hela hata wewe nahisi chuma ulete watakuibia lol
 
Last edited by a moderator:
ama kweli siku hizi JF imevamiwa, hivi ,mods bado hamjaajiri wale wapya. maana naona mmezidiwa post kama hizi zinapitaje?
 
Ponda raha huwezi jua lini utaondoka hapa achana na mambo ya kuchanga
 
110-98=12....

ndani yq muda gani umetumia hizi pesa mkuu?

tafuta basi hata kashamba hivi ununue kakae hapo kijijini ili siku ukifulia upate wapi za kujishikiza!

Land appreciates everyday, chukulia serious hii kitu.. itakuja kusaidia. hao unaowaona wazuri watakuja kukutuma kumwaga mkojo wao nje siku moja sababu ya kufulia!
 
Sio promo mkuu mzigo unaisha vibaya. Kama ningekuwa naendekeza mambo hayo nisingewwza kuzichangisha hadi nilipofikia.

Ulizichanga wapi wewe? Sema umelipwa mafao ya ustaafu! Sasa umeanza kuihonga hiyo pesa kabla hata hujajenga mwalimu?
 
Hata wale wanaija huanzaga ivi ivi, ukiingia king, utaskia, baba yangu alifariki kwa vita, kaniachia dola laki 9, na mimi niko kambi ya wakimbizi, nitumie dola milion 2, nihonge askari, ili nikitoka tugawane dola laki 9.
 
Kwa akili yako tu...inaelekea hizo ela uliongwa...kama umeshindwa kuzitunza umewezaje kuzitafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…