Jamani naomba msaada wa haraka.
Mwenzenu nimezichanga kibishibishi zilifika 110 milion kwenye akaunti. Cha ajabu sasa kila biashara naiona haifai tena hata ile yamwanzo naiona ngumu alafu najisikia uvivu na pesa haiongezeki tena inazidi kupungua. Nimejigundua natumia pesa kwa kasi juzi nimecheki nimekuta 98m na sijui nimetumiaje na sikumbuki kama nilihonga. Cha ajabu nikitoka ATM kuchukua pesa kila mwanamke namuona mzuriii!!!. Sasa mwajameni nimerogwa au pepo limeniingia? Nifanyaje kuilinda hii amount nisije nikafulia mwenzenu.

Kama huwezi kufanya biashara, na kama utaridhika na kipato cha kama laki tisa kwa mwezi, weka fedha hiyo yote UTT mfuko wao wa Jikimu. Utakula magawio maisha yako yote ilimradi huuzi hivyo vipande vya UTT.
Jamani naomba msaada wa haraka.
Mwenzenu nimezichanga kibishibishi zilifika 110 milion kwenye akaunti. Cha ajabu sasa kila biashara naiona haifai tena hata ile yamwanzo naiona ngumu alafu najisikia uvivu na pesa haiongezeki tena inazidi kupungua. Nimejigundua natumia pesa kwa kasi juzi nimecheki nimekuta 98m na sijui nimetumiaje na sikumbuki kama nilihonga. Cha ajabu nikitoka ATM kuchukua pesa kila mwanamke namuona mzuriii!!!. Sasa mwajameni nimerogwa au pepo limeniingia? Nifanyaje kuilinda hii amount nisije nikafulia mwenzenu.
Jamani naomba msaada wa haraka.
Mwenzenu nimezichanga kibishibishi zilifika 110 milion kwenye akaunti. Cha ajabu sasa kila biashara naiona haifai tena hata ile yamwanzo naiona ngumu alafu najisikia uvivu na pesa haiongezeki tena inazidi kupungua. Nimejigundua natumia pesa kwa kasi juzi nimecheki nimekuta 98m na sijui nimetumiaje na sikumbuki kama nilihonga. Cha ajabu nikitoka ATM kuchukua pesa kila mwanamke namuona mzuriii!!!. Sasa mwajameni nimerogwa au pepo limeniingia? Nifanyaje kuilinda hii amount nisije nikafulia mwenzenu.
Bora nilikuacha maana sahizi ungekuwa unanifanya nishindwe kuwatizama mashostito wangu miss neddy, ICHANA Bantu lady...nilikuwa najitamba umetulia kumbe kha,
Kama inaungua wacha nikusaidie kuhifadhi zilizobaki