Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House).
Mbona tawi la kariakoo wameshafunga juzi nilipita hapo nikaona,Itakuwa biashara imewaendea kombo,kodi za pango zitakuwa zinawakosti ikiwa wateja wenyewe hakuna,Hapo vijana wenzetu wa hayo matawi wanakuja mtaani kuteseka kama walivyo walimu

Sikubaliani na hiyo lugha...RELOCATION... Ingekuwa wanahamishia huduma palipokuwa hapana tawi na shughuri zikaendelea hapo OK,tungeita RELOCATION... Lakini kuhamishia HQ, ambapo tayari pana operations zinaendelea.... THAT IS NOT RELOCATION BUT CLOSING