Habari wana JF, Ndugu zangu kuna benki moja nchini hapa kwa muda mrefu imekuwa ikionekana kwa viashiria kwamba ni benki ya kikanda. Hebu fikiria kwa muda mrefu mkutano mkuu wa wana hisa Annual General Meeting (AGM) imekuwa ikifanyika katika mji huo huo kila mwaka yaani pale Geneva of Afrika kana kwamba hakuna mikoa mingine ambayo ina kumbi nzuri zenye uwezo wa kuchukua idadi ya wanahisa wa benki hiyo.Katika utafiti wangu benki hiyo kwa sasa ajira zake ni za kiukanda ama kutokana na Mkurugenzi Mtendaji wake mkuu kwa kutokuliona hilo, hivi sasa ili upate ajira ukiwa unatokea ukanda huo wa kaskazini ni rahisi sana kupata ajira. Hivi majuzi benki hii sasa imekuja na huduma ya benki kupitia simu ya mkononi kwa kujidhihirisha kwamba na kutokutambua wamejikuta wamebuni matangazo ya ukanda huo tu, tangazo lao la kwanza katika huduma hiyo ni la kimasai na hili la pili ni la Kichaga, jamani hebu tuwaambie wenzetu wabadilike na wasijisahau sasa. Ifike wakati sasa mkutano wa wanahisa wa mwaka AGM ufanyike katika mkoa mwingine sasa mbali na Arusha, matangazo ya kibiashara yatoke pia kwa kufikiri kwamba kuna wigo mpana wa Watanzania wanaopata na kutegemea huduma kutoka katika benki hii, ajira ziwe na usawa kwa watanzania wote.
Ahsante ni mimi mdau mpenda maendeleo.

.ishu sio kuwa na wafanyakaz weng wakichaga kwa hoja hi haina mashiko.labda ungeuliza je wanaqualification?
Hiyo bank kama unatokea umangini lazima upate job,otherwise utaishia kutuma Cv mpaka uchoke,they have to change,wawe equal opportunity!wanaboa kwakweli na ukabila wao!!kimei wake up please
Kimsingi KIMEI hahitaji kuamka, anahitaji kuondoka. Uchumi wa SOKO huria umemshinda hususani hili soko la hisa
yap jamaa naona kashindwa sema ni CRDB banaShortly ni CRDB
Habari wana JF, Ndugu zangu kuna benki moja nchini hapa kwa muda mrefu imekuwa ikionekana kwa viashiria kwamba ni benki ya kikanda. Hebu fikiria kwa muda mrefu mkutano mkuu wa wana hisa Annual General Meeting (AGM) imekuwa ikifanyika katika mji huo huo kila mwaka yaani pale Geneva of Afrika kana kwamba hakuna mikoa mingine ambayo ina kumbi nzuri zenye uwezo wa kuchukua idadi ya wanahisa wa benki hiyo.Katika utafiti wangu benki hiyo kwa sasa ajira zake ni za kiukanda ama kutokana na Mkurugenzi Mtendaji wake mkuu kwa kutokuliona hilo, hivi sasa ili upate ajira ukiwa unatokea ukanda huo wa kaskazini ni rahisi sana kupata ajira. Hivi majuzi benki hii sasa imekuja na huduma ya benki kupitia simu ya mkononi kwa kujidhihirisha kwamba na kutokutambua wamejikuta wamebuni matangazo ya ukanda huo tu, tangazo lao la kwanza katika huduma hiyo ni la kimasai na hili la pili ni la Kichaga, jamani hebu tuwaambie wenzetu wabadilike na wasijisahau sasa. Ifike wakati sasa mkutano wa wanahisa wa mwaka AGM ufanyike katika mkoa mwingine sasa mbali na Arusha, matangazo ya kibiashara yatoke pia kwa kufikiri kwamba kuna wigo mpana wa Watanzania wanaopata na kutegemea huduma kutoka katika benki hii, ajira ziwe na usawa kwa watanzania wote.
Ahsante ni mimi mdau mpenda maendeleo.
hata wanaopewa mikopo mikubwa kuanzia 1bn ni wachaga tuu!
yap jamaa naona kashindwa sema ni CRDB bana