Nenda au visit website yao,Equity Bank Tanzania.
Sijui kama itadumu sana hii.
Wamenipa yote hayo.
Lakini siku zote huwa nacheka nasema labda kwa kuwa sio banker-sijui yatokanayo.
kikawaida bank huwa zinasubiri 5-7 clearance ya cheque ukii deposit .
Hili ni zuri,lakini vitu vingine inabidi uwe na exclusions .
Hivi kama niko kwenye bank for 10 yrs na BOT wamenipa cheque ya 1m na mimi huwa na deposit 100M kwa mwezi.
Kweli utasema ni mpaka iwe cleared ??wakati naakiwa ku delive kitu cha 500K umezishikilia?si bora unitoze fee unayotegemea kupata kwa kuka nazo?
Au aya kama nimelipwa na World bank-kweli nao ni wa utata?
Kwa kampuni kama ya kwako ulivyoiongelea,wajaribu au ongea nao.