Hakika.Waanzishe ligi yao ya timu za majeshi tu.
...swadaktaaaaa... Kunywa bia kwa Mangi nakuja kulipa mkuu...ππSimba ni utopolo iliyochangamka
Simba wamepigwa gwaride wanalia lia
Mnakoelekea na timu za viwanda nazo mtataka zianzishe Ligi zao. Timu za wafanyaniashara nazo, timu binafsi nazo.Waanzishe ligi yao ya timu za majeshi tu
Sasa kama wanajua kwenye majeshi hawali biriani na niwapiga kwata raia wa kawaida si atateseka.Mnakoelekea, na timu za viwanda nazo mtataka zianzishe Ligi zao. Timu za wafanyaniashara nazo, timu binafsi nazo
Sasa kama wanajua kwenye majeshi hawali biriani na niwapiga kwata raia wa kawaida si atatesekaMnakoelekea, na timu za viwanda nazo mtataka zianzishe Ligi zao... timu za wafanyaniashara nazo, timu binafsi nazo
Kama na nyinyi mlivyowakamia Al Ahly! Au siyo!!!πWapo nafasi ya ngapi na gwaride lao? hamna lolote wapania mechi tu hao.