Kwani nani kakwambia tunahitaji matundu? Tunahitaji ushindi. Habari ya kutoboana mnayo nyie na wale wazuluhamtoboi
Basi tutavunja kabisahamtoboi
Kwani nani kakwambia tunahitaji matundu? Tunahitaji ushindi. Habari ya kutoboana mnayo nyie na wale wazulu
3 USIKUKwani mechi saa ngapi?
SISI WANASIMBA TUNAINGIA KAMA UNDERDOGKocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri kufuzu nusu fainali.
Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Benchikha amesema amekiandaa vizuri kikosi chake kuelekea katika mchezo huo.
"Kuna tofauti kubwa nilipocheza dhidi ya Al Ahly nikiwa na US Alger na mchezo ule ulikuwa tofauti na huu. Ule ulikuwa mchezo mmoja tu, lakini sasa tunaenda kucheza michezo miwili, ambayo lazima tushinde ili kufuzu," amesema Benchikha.
Amesema, Al Ahly ni timu kubwa lakini lengo lake ni kuhakikisha anaivusha Simba kwa mara ya kwanza kuelekea hatua ya nusu fainali.
"Lengo tulilojiwekea hapo mbele ni kufika nusu fainali na hatuwezi kufika bila kushinda mchezo wa robo fainali. Al Alhy ni timu kubwa, tunaiheshimu lakini lazima tutumie vizuri uwanja wetu wa nyumbani, " amesema Benchikha.
Hii comment imenifanya nikachungulie hiyo picha 😂😂Hawa Al Ahly inabidi wapigwe. Kwanza kitendo cha kupost kupitia facebook nyumba zilizochoka za Keko na kuonesha eti wamedhamiria kupost uwanja wametudhalilisha sana.
Yaani picha 75% inaonesha makazi yaliyochoka na 25% kwa juu ndio inaonesha uwanja.
Kumbe ndo wamefanya udhalilishaji huo? She*#@nzy zao kabisa! Lazima tuwafundishe adabu kesho.Hawa Al Ahly inabidi wapigwe. Kwanza kitendo cha kupost kupitia facebook nyumba zilizochoka za Keko na kuonesha eti wamedhamiria kupost uwanja wametudhalilisha sana.
Yaani picha 75% inaonesha makazi yaliyochoka na 25% kwa juu ndio inaonesha uwanja.
Nimesikitika sana walivyopost mageto yetu kijanja, ni kama walidhamiria kutudhalilisha kwa indirect way ila wakaamua watumie hiyo picha ya uwanja.Kumbe ndo wamefanya udhalilishaji huo? She*#@nzy zao kabisa! Lazima tuwafundishe adabu kesho.
Unamaanisha utopolo Wana mechi tarehe 30??Kwani mechi ya Simba vs Al ahal ni lini?..... maana ninachojua 30/3/2024 kutakua na mechi baina ya bingwa wa Tanzania na bingwa wa South Africa.
Mechi ni kesho, ukilipia unapewa ya jmosi kama kifungashioKwani mechi ya Simba vs Al ahal ni lini?..... maana ninachojua 30/3/2024 kutakua na mechi baina ya bingwa wa Tanzania na bingwa wa South Africa.
Hawa watu wanadharau sanaKumbe ndo wamefanya udhalilishaji huo? She*#@nzy zao kabisa! Lazima tuwafundishe adabu kesho.