Benchi lipi linatisha zaidi.

orangutan

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
757
773
Benchi la Barcelona lenye miamba ya soka kama Gaucho, E'too, Henry, Iniesta..
IMG-20170611-WA0001.jpg

Au benchi la Real Madrid lenye magwiji wa soka kama Zizzou, Raul, Ronaldo deLima, Figo na Beckham

IMG-20170611-WA0003.jpg
 
Wachezaj tu ndo wanakubali
Wote hzo tim zao zkafie mbali
 
Kama ni Shule hapo kuna primary na secondary,madrid ndio secondary wenyewe,hao wengine bado primary.
 
Unapozungumzia RMA maana yake unazungumzia timu ya mpira wa miguu inayoongoza kwa kupata mafanikio makubwa sana duniani.
Vilevile ni timu ambayo magwiji wengi wa soka wanapenda kuitumikia na/au wameitumikia tayari.

Benchi la Barcelona lenye miamba ya soka kama Gaucho, E'too, Henry, Iniesta..
View attachment 522446

Au benchi la Real Madrid lenye magwiji wa soka kama Zizzou, Raul, Ronaldo deLima, Figo na Beckham

View attachment 522447

[HASHTAG]#HallaMadrid[/HASHTAG]

Usifananishe benchi la barcelona na ujinga.
 
Back
Top Bottom