Hakika mkuu. Tactically coach wa simba ana mapungufu mengi sana. Ukitazama mechi zote ambazo simba anakutana na wapinzani wenye kupush timu inakuwa haina utulivu, No urgency,. Unamuacha chama anacheza dk 90, huku unaanza na kiungo mkabaji mmoja...poor game planWakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa. Huwezi kuanza kwa kumtumia kiungo kama Kahata ambaye anacheza staili inayofanana na viungo wa Yanga! Mechi ya leo ilihitaji viungo wenye kasi zaidi.
Hata timu inapoonesha kulemewa hakuna mabadiliko ya haraka! Timu inacheza vile vile wakati plan zimeshafeli. Mkude alihitaji msaidizi wa kukaba sababu ya staili yake ya uchezaji lakini kumpanga na watu slow na wasio wakabaji kama Kahata na Chama ilifeli mapema toka mechi ianze na kulikuwa na hatari ya kupata hata kadi nyekundu ilipaswa benchi la ufundi ku change plan haraka!
Simba ina chief coach ambaye hana experience na kufundisha club zaidi ya kupatia experience Simba. Wachezaji wanatoa kila walichonacho lakini plan mbovu kwa mechi za kimbinu kama hizi zinawaangusha.
Simba ina timu bora kabisa, tunahitaji pia benchi la ufundi bora ili kitumia vipaji vilivyopo vizuri.
Nimeandika hili baada ya kufatilia mechi nyingi zaidi ya mechi ya leo na pengine ushindi hututia upofu lakini zipo mechi nyingi makocha wa timu pinzani wanafanikiwa kimbinu lakini wanazidiwa na experience ya wachezaji wa Simba kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani haya umeyajua leo, mechi za Ndanda mboma hamkuongea haya, acheni mambo hayo bhana, mlikuwa mnajimwambafai mtashinda 4-1, zikwapi sasa????? endeleeni kupiga ramli uhalisia wa mpira upo uwanjani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika mkuu. Tactically coach wa simba ana mapungufu mengi sana. Ukitazama mechi zote ambazo simba anakutana na wapinzani wenye kupush timu inakuwa haina utulivu, No urgency,. Unamuacha chama anacheza dk 90, huku unaanza na kiungo mkabaji mmoja...poor game plan
Tena mechi dhidi ya Azam kocha akaonekana bonge la kocha, na hadi Mwenyetimu (Mo Dewji) akampa kongole kocha baada ya mechiKwani haya umeyajua leo, mechi za Ndanda mboma hamkuongea haya, acheni mambo hayo bhana, mlikuwa mnajimwambafai mtashinda 4-1, zikwapi sasa????? endeleeni kupiga ramli uhalisia wa mpira upo uwanjani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapungufu ya benchi hasa kimbinu kwa head coach wa simba yapo wazi , labda kama sio mfuatiliaji wa mpiraKwani haya umeyajua leo, mechi za Ndanda mboma hamkuongea haya, acheni mambo hayo bhana, mlikuwa mnajimwambafai mtashinda 4-1, zikwapi sasa????? endeleeni kupiga ramli uhalisia wa mpira upo uwanjani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa, hata kesho akiingia na game plan kama ya leo mbele ya Yanga tunafungwa.Wakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa. Huwezi kuanza kwa kumtumia kiungo kama Kahata ambaye anacheza staili inayofanana na viungo wa Yanga! Mechi ya leo ilihitaji viungo wenye kasi zaidi.
Hata timu inapoonesha kulemewa hakuna mabadiliko ya haraka! Timu inacheza vile vile wakati plan zimeshafeli. Mkude alihitaji msaidizi wa kukaba sababu ya staili yake ya uchezaji lakini kumpanga na watu slow na wasio wakabaji kama Kahata na Chama ilifeli mapema toka mechi ianze na kulikuwa na hatari ya kupata hata kadi nyekundu ilipaswa benchi la ufundi ku change plan haraka!
Simba ina chief coach ambaye hana experience na kufundisha club zaidi ya kupatia experience Simba. Wachezaji wanatoa kila walichonacho lakini plan mbovu kwa mechi za kimbinu kama hizi zinawaangusha.
Simba ina timu bora kabisa, tunahitaji pia benchi la ufundi bora ili kitumia vipaji vilivyopo vizuri.
Nimeandika hili baada ya kufatilia mechi nyingi zaidi ya mechi ya leo na pengine ushindi hututia upofu lakini zipo mechi nyingi makocha wa timu pinzani wanafanikiwa kimbinu lakini wanazidiwa na experience ya wachezaji wa Simba kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafki upo mahala pake[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena mechi dhidi ya Azam kocha akaonekana bonge la kocha, na hadi Mwenyetimu (Mo Dewji) akampa kongole kocha baada ya mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sven na Aussems wote hawajui kubadili mbinu uwanjani, wanacheza namna moja wakati wote.Naunga mkono hoja 100%.
Dilunga, Kanda walitakiwa kuanza mapema kabisa, then either Boko au Kagere mmoja aanzie benchi plus Kahata. Game tungeimaliza mapema sana.
Kocha wa Simba bado mchanga, ila simlaumu kwa ile CV yake, hao viongozi waliompa kazi sijui waliona nini kwake, na nikikumbuka walimuacha Aussems uuuh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akipata nafasi anataka afunge ki star. Ile nafasi aliyopata haikuwa ya kupoteza kabisaYote tisa
Ila pia wakati mwingine chama awe na maamuzi ya haraka
Siyo kupoozesha wakati watu walishatengeneza nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu hapa anaongea tactics, usituharibie uzi wetuTumewaruhusu kina mama Yanga watufunge kwakua ni siku ya kinamama leo.
Mzee ile faulo ilikuwa nzuri. Morrison alijikunja mzeeManula pia amekuwa mbovu kwa mipira ya mbali, simba waanze kutafuta kipa mwingine, wakipata kama Abarola Wa Azam utakuwa pia, Manila kwa sasa anaweza kuisaidia Mbeya City zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo ubovu wa kocha, Hana plan ya ziada na akizidiwa hawezi ku badirisha chochote. Mkude alizidiwa kwa sababu viungo wote wa juu walikuwa slow. Kwenye mechi zingine inaweza isionekane tatizo ila mechi inayohitaji mbinu kama leo lazima kocha ubadirike.Kosa lilikuwa katikati Mkude Alizidiwa Kocha na kocha alitakiwa aongeze Holding Midfilder..
Sent using Jamii Forums mobile app