kwa kweli mnasababisha tuonekane watu tusiokuwa na amani kila tuendako... Tunaonyeshwa "libolo" matatizo mnayatafuta wenyewe viongozi..... Kisa na mkasa cha kumuondoa milovan ni nini? Mnaruka mkojo mnakanyaga mavi.... Na kwa kuchanganyikiwa kwenu nawapa ushauri huu.. Mrudisheni milovan.... Na pangueni jopo la makocha ... Kuna mtu ambaye ni nuksi na hana jipya julio... Aondoke mara moja ...