Ben Pol: Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wanamtongoza mpenzi wangu DM

Jaguar hana pesa wewe, labda sasa hivi azipate kwenye siasa huko.
jaguar alikuwa anafanya Biashara ya magari kabla hajawa politician hii biashara anaifanya Matonya na H BABA kwa Bongo.

UG ni wasanii labda wawili wanaoweza kumfikia kwa pesa, Rwanda na Burundi tupa kule.
Rwanda Top A_list star anaitwa Meddy na mwenzake The benny hawa makapuku tu.

Burundi hakuna.
Umenikosea heshima sana kuniita muongo wakati huna ushahidi mimi ninao
 
Mimi ndiye nakwambia sasa harmo ana pesa kumzidi, yani anerlisa akitaka kufanyiwa show na harmo Nairobi au popote anafirisika.

alafu bado kumbe hujajifunza hizo lugha zako za kejeli bado unazo sasa endelea tutarudi kulekule
Acha sound aisee Anerlisa anauwezo wa kumkodi Harmonize awe anamvimbia happy birthday week nzima nyumbani kwake na akamlipa vizuri.
Anerlisa ameingia kwenye Africa magazine Kama Moja ya young rich Africa women
Anamiliki kiwanda Cha maji amboyo ndo expensive zaidi Kenya Apo Ni tofauti na viwanga vya bia anavyomiliki mama yake.
Mdada anamiliki maeneo Manson Nairobi sehemu expensive zaidi. Unafananisha na Harmonize anaekaa Mbezi aliponga mpenzi wake Mzungu Sarah
 
Tatizo unakurupuka unaongea vitu kishabiki kinazi yani.

nimeeleza utajiri wa anerlisa si wake ni wafamilia yao uwe unasoma unaelewa.
hana uwezo wa kumkodi harmonize awe anamwimbia wiki nzima narudia HANA we unarahisisha mambo sana.

harmonize ni Youngest rich kid in E.A kwa sasa kwa taarifa yako, kama wewe ni mfanayakazi wa serikali Trust me mpaka utakufa pesa anazomiliki mpaka leo hii saa 13:10 hutaweza kuzifikia hata kwa ndumba

wenzako tunajiongeza.
 
 
Jamaa ana presure ...sisi wanaume kutongozeana wanawake ni jambo la kawaida sana .....

Mimi binafsi nimeshawahi kutongozewa manzi wangu na broh wangu ...tena mpaka evidence ya text niliziona lakini niliishia kupotezea tu ....na mpaka leo broh hajui kuwa nalijua Hilo ...

Mambo kama haya watu huwa hawa yaongei hadharani
Ukipata demu kwa kuchitchat naye, kila anayechitchat naye unajua atamla.
 
Hahahaah
 
Indeed
Usimsemee huyo ana sijui nani ndugu yangu,Binadamu hasa wa kike hana dhamana.Unapodhani hao umewachambua na kuwakosoa kwa ubovu wao,mwanamke anaweza kuwapendea huo ubovu uliorodhesha hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…