Ben Mkapa ampigia Pinda debe kiaina

Pinda a cha uongo hakuna cha ndoto Uraisi huuwezi Mkuu uwaziri Mkuu umekushinda hats Jairo ulimwogopa

kuhukumu kwa baya moja na kusahau mema mia moja ninjambo la kawaida sana kwa mafikirio madogo... ninaamini Pinda anaweza ametenda mazuri mengi sana na kama yapo mabaya ni ubinadamu na yako machache sana kwakua yeye si malaika. alikosea kama binadamu tusihukumu mabaya yake tu. najua mnajua kua anayo mema zaidi ya mia ya mabaya ninkiongozi anayejua wajibu wake ni hakika anajua kwakua ana hekima ni mtaratibu na ni kiongozi wa kuigwa na wala Mkapa hajakosea amenena sahihi kusema na kua Pinda ni muadilifu sana, mnyenyekevu na anayo pia hekima mimi na watanzania wengi pia najua ama tunajua anaweza kua rais na akabadili maisha ya watanzania.. ikiwezekana apewe adhihirishe hilo na uwezo wake.. viva Pinda
 


Pinda anaweza ametenda mazuri mengi sana na kama yapo mabaya ni ubinadamu na yako machache sana kwakua yeye si malaika. alikosea kama binadamu tusihukumu mabaya yake tu. najua mnajua kua anayo mema zaidi ya mia ya mabaya ninkiongozi anayejua wajibu wake ni hakika anajua kwakua ana hekima ni mtaratibu na ni kiongozi wa kuigwa na wala Mkapa hajakosea amenena sahihi kusema na kua Pinda ni muadilifu sana, mnyenyekevu na anayo pia hekima mimi na watanzania wengi pia najua ama tunajua anaweza kua rais na akabadili maisha ya watanzania.. ikiwezekana apewe adhihirishe hilo na uwezo wake.. viva Pinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…