Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Nilimuuliza Joyce kiria anataka alipwe laki.me siwezi mkuuChukua wa kampuni huta jutia na mshara wao pia ume changamka! Wana nidhamu sana
MthukumaUmemtoa wapi huyu beki tatu
Iringa au Kibaigwa??
Na wanagegedwa na akina nani??..
Mmoja alikaa siku moja tu kesho yake nikamrudisha.sipendi stressUna tatizo..
Haiwezekani beki 3 watano wote ndani ya 1 year
Nilimuuliza Joyce kiria anataka alipwe laki.me siwezi mkuu
Mimi nalipa 50 japo kila kitu namnunulia hadi chupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela unayomnunulia kila kitu si uache umlipe missNilimuuliza Joyce kiria anataka alipwe laki.me siwezi mkuu
Mimi nalipa 50 japo kila kitu namnunulia hadi chupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Boda man, shamba boy, chinga etcUmemtoa wapi huyu beki tatu
Iringa au Kibaigwa??
Na wanagegedwa na akina nani??..
Just imagine mkuu.sio haki.kama hawezi kuishi kwa adabu mi simtaki.Pole sana. Ni Changamoto kubwa Watz hatuthamini kazi wala elimu. Ndio maana utakuta binti amepata kazi ya ndani ambayo inaweza ikamtengenezea njia ya maisha yake lkn anachukulia poa, labda kwa kuwa anaweza kuishi kwa ndugu.
Na hili jambo la kutiwa, Sijui ni kwann Ila yatakuja majitu kutetea upumbavu.
Hawa ndio wamama wa kesho mtafurahi watoto wenu au nyie wenyewe kuoa mwanamke asiyevumilia kukaa bila kutiwa?
Hawa Kama wasichana wanaokua, wanapaswa kujitunza na sio majinga yanayotaka binti awe anatoka wkend kwenda kutiwa tu just kutiwa what the hell!!!
Imagine unamruhusu binti yako uliyemzaa aende kwa wahuni wakamtieee weee basi halafu arudi pumbaavu
Pole sana. Ni Changamoto kubwa Watz hatuthamini kazi wala elimu. Ndio maana utakuta binti amepata kazi ya ndani ambayo inaweza ikamtengenezea njia ya maisha yake lkn anachukulia poa, labda kwa kuwa anaweza kuishi kwa ndugu.
Na hili jambo la kutiwa, Sijui ni kwann Ila yatakuja majitu kutetea upumbavu.
Hawa ndio wamama wa kesho mtafurahi watoto wenu au nyie wenyewe kuoa mwanamke asiyevumilia kukaa bila kutiwa?
Hawa Kama wasichana wanaokua, wanapaswa kujitunza na sio majinga yanayotaka binti awe anatoka wkend kwenda kutiwa tu just kutiwa what the hell!!!
Imagine unamruhusu binti yako uliyemzaa aende kwa wahuni wakamtieee weee basi halafu arudi pumbaavu
Huna uzoefu mkuu.Una tatizo..
Haiwezekani beki 3 watano wote ndani ya 1 year