Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

Kukata gogo ndovu raha sana! Toplayer pale jikoni unamkuta kipakuzi sele akija bwenini anajamba balaa!!
 
Maliasiri dah!nlikuwa naenda kupumzika na mtoto wa kibena niliyemtokeaga kibaha dah kweli ujana maji ya moto nilifunga safari dar mpk njombe sina ndugu jamaa wala rafiki kha!ila wenyeji ni wakarimu sana
 
2001-2002 future word hagafilo tech college cc ndió wanafuñzi tulioenda disco turbo na gari ya shule
 
Nilisoma st joseph kilocha seminary, but walinitimua..ipo kifanya kule
 
Daah mnenikumbusha mbali sana enzi hzo mdete primary 1992-1998 enzi hzo mwalim mkuu marehem s. Nyoni, nikaenda njoss 1999-2002 tukamkuta mkuu wa shule mwanyigu, wengne kama mbabe kasalile, dengeya, ngimba, tyson, komba, mbaya, kwa kifupi njombe ndio home, nakumbuka mambo pilau kwa maulusi pale chauginge
 
nilikuwa nikiishi maeneo ya magereza kule,na shule nilisoma mpechi sec ila nilihama 2OO7
 
Watoto wa fwila wababe wa shule za secondary njombe nzima sijawasoma kwenye uzi huu. Vipi vijana wa Wang'ing'ombe mupo?????
 
Turbo ,ukumbi wa uwt
 

Attachments

  • 1391598731925.jpg
    1391598731925.jpg
    70.9 KB · Views: 113
  • 1391598778066.jpg
    1391598778066.jpg
    70.4 KB · Views: 109
Kwa mwifunyi restaurant hapo ni sawa na stears au best bite ya kunzombe mwiyangu

Uwende lipwela
 

Attachments

  • 1391598826371.jpg
    1391598826371.jpg
    80.2 KB · Views: 119
Ukitoka turbo na hangover za sherehe za harusi na disco supu ya ukweli unapata hapa kwa abdala/ bombinyumbi
 

Attachments

  • 1391598962605.jpg
    1391598962605.jpg
    85.2 KB · Views: 115
Njombe chemchem ni za kumwaga na vinyungu kibaom hapo ni chemchem ya posta kati
 

Attachments

  • 1391599837796.jpg
    1391599837796.jpg
    152.5 KB · Views: 108
Hii chemchem ipo matarawe
 

Attachments

  • 1391600868176.jpg
    1391600868176.jpg
    148.4 KB · Views: 113
wana kunzombe mmepotelea wapi leo? au mko buzy na mlyiuka na mtambo katika harakati za kuusaka udiwani?
 
Nilikua nikilala guest moja inaitwa Magazeti,enzi hizo inaanzishwa 2002-2003 ilikua inavuma sana kwa vyakula na vinywaji. Nakumbuka supermarket ya Mama Widambe pale tanwat njiapanda ya Lupembe nilikua nanunua mahitaji sijui kama bado ipo au la!

Mama widambe nasikia kafulia mpaka gorofa alilojenga la kuishi kapangisha nimesoma manyunyu lupembe niliipenda inakila aina ya chakula.kwa mie mama misosi nilienjoy pale
 
Nilianza mdete nikaenda manyunyu nikarudi mtwango kwa baba mbunda jaman njombe kuzuri wikiendi makambako hadi mbeya kujirusha au mafinga shimoni ujana maji ya moto na turbo pia
 
Back
Top Bottom