Bei za tiles (Marumaru) kwa Mwanza

Bei za tiles (Marumaru) kwa Mwanza

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
Mwenye kujua bei ya tiles kwa Mwz naomba unisaidie kwa box size 60*60,size 50*50,size 40*40,size 30*45,na size 20*30.
Asante
 
inategemea na quality ya tiles unayotaka kuna spanish na chines. ni pm no yako nikuelekeze
 
Asante nilikwisha fanikiwa boss
 
Kwa madirsha na milango, Mr aluminium and glass npo kwa ujenz bora piga sim no +255 654 069 041/+255 744 722 526
 
Mwenye kujua bei ya tiles kwa Mwz naomba unisaidie kwa box size 60*60,size 50*50,size 40*40,size 30*45,na size 20*30.
Asante
0405e85fb95728a082ee4669d5138f0f.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom