Niliwapa details zote, ila ukiwa kama fanyabiashara unatakiwa kuwa mbunifu eg unatakiwa kuhakikisha Iwe isiwe umenikamata yaani umenipata kama Mteja, unatakiwa uniambie mfano.unaonaje tuanze na hizi tupunguze hizi nk nkmkuu umeanza kwa ku criticize as if ulikuwa unawajoke kutengenezewa app inategeme na mahitaji ya app yako iwe na vitu gani mfano app ya blog ambayo ni kutoa updates za daily activities haitakuwa sana sawa na app ambayo unaweza fanya manunuzi katika mtandao. Kwahiyo unatakiwa wewe useme app yako unataka ni ya nini?