Bei za cooking gas

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Jamnieee, unaweza kuamini bei ya kilo moja ya gas ni shs 3500/= na inapanda kila siku, sasa hawa ewura ( kwa lugha yetu inamaanisha "MKOSAJI") wanaregulate ktk petrolleum liquid peke yake? vipi hii gas ambayo tunategemea iokoe mazingira yetu siwasikii wakisema lolote?i! Bei inakuwa inapanda kwa almost 9.5% kila ikichange! sasa tunaenda wapi? nani anaregulate gas prices? namtafuta Masebu9hope ndo wa Ewura huyu) anielezee hili, sasa ilobaki ni kuiba umeme tusemei! kama penye unafuu ndo wanazidi kukazia kamba! nshachoka na nchi yangu to the maximum! kila kitu kinakua kasoro income inazidi kuwa dwarf!
 
hapo ndipo unajua kuwa mkuu wa kaya sio kuishi ikulu bali ni kupambana na matatizo kama hayo... halfu unasikia misitu inakatwa na watu wanaochoma mkaa wanaongezeka bila hata ya kuotesha miti iliyokatwa..

RIP Tz
 
hakuna chombo kinachodhibiti bei za gesi......inaingizwa na jamaa wanajiita ORYX, wengine wote wananunua kwao na kuuza kwa bei watakayo. bongo tambarare!
 
Jamnieee, unaweza kuamini bei ya kilo moja ya gas ni shs 3500/= na inapanda kila siku, sasa hawa ewura ( kwa lugha yetu inamaanisha "MKOSAJI") wanaregulate ktk petrolleum liquid peke yake? vipi hii gas ambayo tunategemea iokoe mazingira yetu siwasikii wakisema lolote?i! Bei inakuwa inapanda kwa almost 9.5% kila ikichange! sasa tunaenda wapi? nani anaregulate gas prices? namtafuta Masebu9hope ndo wa Ewura huyu) anielezee hili, sasa ilobaki ni kuiba umeme tusemei! kama penye unafuu ndo wanazidi kukazia kamba! nshachoka na nchi yangu to the maximum! kila kitu kinakua kasoro income inazidi kuwa dwarf!
Hii sekta ni kama wanaouza wameachiwa wajipangie bei kwa jinsi wanavyotaka...
 
Kaka mtoa mada umenikuna sana, swala hili mimi linaniumiza kichwa japo si ishi Tanzania na hata nikija huko situmii hiyo gazi ila bado ninawasiwasi viongozi wetu kama wanaupungufu wa mawazo kidogo. Ukienda kwenye kampeni zao watasema hadi mapovu kuwatoka kuhusu manufaa ya mazingira, ukirudi kumbe wenyewe wanatumia kuni na mkaa...Niliwahi kuuliza why gasi yetu haitumiki majumbani, jibu nililopewa nikaambiwa kunatakiwa Mtambo wa kubadirisha ili iweze kutumika na majumbani...sasa hapa ndipo nilipoona hao wanaojiita viongozi hawaitaki mema nchi yetu....katika kupitia makala mbali mbali nikaona kumbe gharama za kuendasha Bunge ni kubwa kuliko kununua mtambo huo wa gasi, hivi ni kweli serikali inasubiri kila kitu kiletwe na muwekezaji while kila siku wanatunyonya? Kama kweli serikali inajuwa umuhimu wa mazingira kwanini hawako active kuleta nyenzo zitakazo fanya misitu yetu isipotee? Kazi ipo kwenye serikali hii, cha ajabu wakileta huo mtambo ni investment na siyo social service kama hilo Bunge ambalo linatumia pesa na kurudisha indirectly au kutorusdisha kabisa kama lifanyavyo sasa!
 
Back
Top Bottom