Mirathi?maradhi
Ushije Kwanza jifundishe lugha usije ukapotea mwisho ukapata MARADHIWakuu kwema humu!
Jamani naomba niende kwenye mada moja kwa moja nipo maeneo ya mji wa zanzibar, ninatarajia kukaa siku kadhaa huku sasa changamoto inshu ya maradhi ipo juu sana, natafuta chumba walau cha elfu ishirini nipate kujistiri si mnajua maisha yalivyo magumu.
Sina mengi naomba kuwasilisha.
Hhhhhhhh maradhi! Au Malazi kijana?Wakuu kwema humu!
Jamani naomba niende kwenye mada moja kwa moja nipo maeneo ya mji wa zanzibar, ninatarajia kukaa siku kadhaa huku sasa changamoto inshu ya maradhi ipo juu sana, natafuta chumba walau cha elfu ishirini nipate kujistiri si mnajua maisha yalivyo magumu.
Sina mengi naomba kuwasilisha.
MALAZImaradhi
Powa mzee ngoja niwachekiMambo vipi mtoa mada.
Tafuta daladala, panda hadi sehemu inaitwa "Bububu" au ulizia.
Kuna guest/Lodge inaitwa Bububu Beach Guest House vyumba kuanzia elfu 15 na ni vizuri sana.
View attachment 2695317
Kusema kweli nilikaa week hapo nili enjoy. Tatizo pale Stone town overrated sana.
View attachment 2695319
Picha sio zangu ila ndio pako ivo.
Kwenye iyo gate picha ya juu kuna namba zao unaweza wapigia.
Nauli toka stone town hadi hapo Bububu ni mia 6 tu mwendo wa dk 25-40 kwa vile vichai maharage vyao.
Mkuu kama bado unamarinda jitahidi sana kuyatunza.Wakuu kwema humu!
Jamani naomba niende kwenye mada moja kwa moja nipo maeneo ya mji wa zanzibar, ninatarajia kukaa siku kadhaa huku sasa changamoto inshu ya malazi ipo juu sana, natafuta chumba walau cha elfu ishirini nipate kujistiri si mnajua maisha yalivyo magumu.
Sina mengi naomba kuwasilisha.
Kina nani?
Mkuu yani unamuita inbox? Kwanini? Una nia gani mbaya na yeye? Kwasababu nyie wazenji mnafahamika hulka zenu za kutatuana.Hhhhhhhh maradhi! Au Malazi kijana?
Njoo inbox tuongee
Mrejesho.
Mie nimekumbuka tu ka wimbo ka Zuchu,Mrejesho.
Mchango wako utatusaidia wengi ambao likizo tunapenda kwenda mazingira tofauti. Thanks mkuuMambo vipi mtoa mada.
Tafuta daladala, panda hadi sehemu inaitwa "Bububu" au ulizia.
Kuna guest/Lodge inaitwa Bububu Beach Guest House vyumba kuanzia elfu 15 na ni vizuri sana.
View attachment 2695317
Kusema kweli nilikaa week hapo nili enjoy. Tatizo pale Stone town overrated sana.
View attachment 2695319
Picha sio zangu ila ndio pako ivo.
Kwenye iyo gate picha ya juu kuna namba zao unaweza wapigia.
Nauli toka stone town hadi hapo Bububu ni mia 6 tu mwendo wa dk 25-40 kwa vile vichai maharage vyao.
Nishapata chimboMambo vipi mtoa mada.