Joseph Zito
Member
- May 13, 2011
- 15
- 1
Wadau natafuta kujua bei ya engine VVTI kwa ajili ya rav 4 iliyofungwa D4. Naomba maoni na bei
Ni engine inayotumika kwenye Rav4 kili time lakini zile ambazo ni 2wd na sio 4wd.Mkuu hii 1zz fe ni engine ipi hii
Ni engine inayotumika kwenye Rav4 kili time lakini zile ambazo ni 2wd na sio 4wd.
Ni engine inayotumika kwenye Rav4 kili time lakini zile ambazo ni 2wd na sio 4wd.