Weee! Wala usijaribu kuwapigia hao SBT Japan, utajuta... Hawa jamaa ni wasumbufu sana na sio wastaarabu kabisa. mi nimewablock kwenye simu na kwenye email...
Total Cost:
CFR
+Protection program
+Inspect
US$ 13,265 ( Hii bei mpaka hapo majini au bandarini ambayo kwa bei ya tz $13,265 × 2178.6= Tsh 28,899,129 )
TSH 28,899,129 MPAKA HAPO BANDARINI
KODI
MAXIMUM NI SAWA NA BEI YA GARI HIO KWA HIO KUPATA JUMLA YA GARAMA ZA GARI ZIDISHA MARA MBILI BEI HIYO.