Samahani muanzisha uzi, nami nitumie uzi wako kuuliza swali fulani kuhusu gari aina ya Voltz. Kuna jamaa yangu ananisumbua sana kuwa anaipenda sana ila haifahamiki gharama halisi hadi iwe barabarani. Na je spea zake zipo? Ukiwa na 10m/- inatosha. Tafadhali mwenye uelewa anijuze, nitashukuru