mwamini sr
Member
- May 30, 2016
- 27
- 2
Tuition? Hii biashara siipendi ila basi tu. Walimu wanashindwa kufanya kazi yao kiusahihi eti wanafunzi waende twisheni badala ya kuwapa muda wa kupumzika na kutafakari walichojifunza. Anyway this is Tz ila waambie walimu wa tuisheni watoe risiti....
Usijikute muongeaji sana haujui ni kiasi gani wanafunzi wa serikali tunavyoumia kwa uhaba wa walimu na hapo tuition ndipo tunatokeaTuition? Hii biashara siipendi ila basi tu. Walimu wanashindwa kufanya kazi yao kiusahihi eti wanafunzi waende twisheni badala ya kuwapa muda wa kupumzika na kutafakari walichojifunza. Anyway this is Tz ila waambie walimu wa tuisheni watoe risiti....
Kwan nawe ni pre-form five??mechanics na physical chemistry tumetumia miezi mitatu kusoma mchikichini kwa moudy physics na Unga na kufundishwa tena hadi mwakani labda private na sijui kama una hela ya kulipa
chukua notes hapa www.thlapp.co.tz
Sidhani kama ni bure, ila unapewa siku tano za kutumia then unaanza kulipia.kuna hii tuition ya bure soma hapa www.thlapp.co.tz
PCM, PCB kidogo CBG huna muda wa kupumzika na kutafakari, kwa shule zetu hizi za kajamba nani unaweza ukajikuta mnamaliza mwaka hata mechanics + Heat hamjamaliza.Tuition? Hii biashara siipendi ila basi tu. Walimu wanashindwa kufanya kazi yao kiusahihi eti wanafunzi waende twisheni badala ya kuwapa muda wa kupumzika na kutafakari walichojifunza. Anyway this is Tz ila waambie walimu wa tuisheni watoe risiti....
Hyo app naijua na tatzo c notes,notes ninazo bt nahitaji mapindi, em tujaribu kufikiri kabla hatujareply post yeyote ilechukua notes hapa www.thlapp.co.tz